Elections 2010 Nimesikitishwa sana na kauli ya Mkapa pamoja na JK

Ndugu zangu msiwe na wasiwasi. Jeuri yote hiyo ina mwisho wake. Hivyo ndivyo historia inavyotufundisha na kututia moyo.
 
Hahahaaaaaaaaah eheeeeeeeeeeeeeeeeeooohooooooooooooooohahaaaaaaaaaaaaaaa

Ngoje nicheke. Mtoto akililia wembe mpe. Chadema you are finished. CCM itashinda kwa zaidi ya asilimia 80 kwa urais. CHADEMA watapata majimbo ya ubunge chini ya sita. Dk. Slaa atapata kura below 20 per cent.
 
Sheikh Yahya
 
Wewe ndiyo ulikuwa moja wa madereva wa hayo malori ama?

Mnaanza kujifunza kusema ukweli kidogo kwa kukiri "umati mkubwa"!

Huwa mnastrategy moja ya kuanza kubisha kwanza halafu watu wakitoa facts zikiwemo picha hatuwaoni tena.
 
Tuwaombee, wako katika wakati mgumu. Kesho nadhani hali itakuwa ngumu zaidi na manung'uniko yatazidi.
Hakikisha unamwomba Mungu -muumba wa mbingu na nchi, yule Mungu mwenye haki ambaye alikuwa radhi kulisimamisha jua ili awakomboe watu wake; usije ukaomba kule kwingine kuliko na ulinzi siyo wa Malaika wa ulinzi bali wa majini. Kali zaidi, jana mgombea pale Jangwani alituhakikishia kuwa mchawi hayupo; natumai hakumaanisha alichokuwa anakisema na kama ni kweli. Omba toba kwa ajili ya hili, manake Mungu hapendi watu vuguvugu asije akamtapika
 
Mkapa kasema alichokisema maana anajua fika hakuna angemjibu mara moja kutokana na muda wa kampeni kwisha..... hata hivyoalikuwa wapi kutoa kauli hiyo mapema wakati wapiganaji wananadi kura zao??????. Fisadi huyu hana kitufaacho kwa sasa ila tunamdai mgidi wetu wa kiwira alojiuzia kwa bei ya kuku wa kisasa....... na rafiki yake yonna.
 
sio bure umetumwa na unatumika...huwezi zuia mabadiliko..endelea kutumika:bowl:
 
Tungiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, alileweshwa na Malaika kwani kabla ya kuingia katika kikao walibishana sana na JK na mzee Ruksa, Mkapa alisema hawezi kusimama uwanjani kumnadi wananchi wanahasira naye watampiga mawe, JK akastukia akaitwa Salva akatumwa Win chupa alipopiga mbili glass Jk akaanza kumwambia ukifika jukwaani kaseme tu chagua Kikweteeeeeeeee, sasa unaona alivyokuwa hata tembea yake. ilikuwa ni The Lager!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! tupu.
 
Jamaa alikuwa akitegea kampeini ziishe asije akakumbushwa ufisadi akakosa usingizi. Hata hivo hata kata alikuwa chicha, aibu bado ilonekana.

Wabongo walikosa usafiri jana baada ya thithiem kukodi daladala zote ili zisombe watu kutoka msata, chalinnze, kisarawe nao walikuja kuosha macho angalau wasikie ile harufu ya Salenda!

Nasikia Mkuu anaumwa kuhara, anaenda msalani kila baada ya dakika 5, kuhofia Dr wa Ukweli:doh:
 
Hana issue kwani aliyoyafanya ni kivuli chake hivyo hawezi kusupport upinzani kwani anajua anaweza kufa kwa pressure.
 
Hahahaaaaaaaaah eheeeeeeeeeeeeeeeeeooohooooooooooooooohahaaaaaaaaaaaaaaa

Ngoje nicheke. Mtoto akililia wembe mpe. Chadema you are finished. CCM itashinda kwa zaidi ya asilimia 80 kwa urais. CHADEMA watapata majimbo ya ubunge chini ya sita. Dk. Slaa atapata kura below 20 per cent.

How dare you say 20% 2 CHADEMA.

Mtachakachua mpaka vidole viote sugu ila hamwezi kupata hiyo ndoto yako. Na zoezi la uchakachuaji huo utawachukua more than a month to acomplish.
:israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel:
 
Back
Top Bottom