Elections 2010 Nimesikitishwa sana na kauli ya Mkapa pamoja na JK

Ibra Mo

JF-Expert Member
Oct 27, 2010
793
101
Tanzania bado tunasafari ndefu sana kufikia demokrasia ya kweli.
Kauli aliyoitoa Mkapa kwamba kipindi cha uongozi wakae hakuwa tayari kuwa na Serikali ya Mseto simply b'coz hakuwa tayar kuona Zanzibar ikiwa chini ya Cuf afu nikiwa kwenye process yakupost hi thread mwenzie(Kikwete)anasistiza wapo tayari ila iwapo tu ccm itashika dola.Swali nani anaamua hapa!!Hamna uchaguz huru na wa haki hapo coz washaamua hapo,Sa cjui huo muafaka na serikali ya Mseto maana yake nini.
 
Nashangaa mnaumiza kichwa na maneno ya sisiem bara. Toka mwanzon hawakuridhia makubaliano ya Seif na Karume. Hawana chao Bara na Visiwan. Mabadiliko yaja
 
Balaa la slaa noma. Wanaogopa kufungwa, kwa kuhujumu uchumi wa nchi, hivyo wanajitetea kwa kila hali japo sisi hatudanganyiki
 
Nimemsikia jana Mkapa alivyokuwa anabwabwaja na kama ulitmtizama vizuri alikuwa ameunyaka kidogo. Alipata ujasiri wa kuwatukana wapinzani wake kutokana na umati mkubwa uliokuwa umesombwa pale na malori.

Kama yeye ni jasiri kweli -- si aitishe tu mkutano na waandishi wa habari wamuulize kuhusu tuhuma zake za ufisadi kama vile -- Kiwira Coal Mine, EPA, radar na ndege ya Ikulu? Anaogopa nini? Hana ujasiri wowote, ni mwizi tu
.
 
Ili ujue kuwa sio jasiri, kwa nini hakujitokeza toka awali? aliogopa Dr Slaa angemshukia asubuhi na tuhuma zake. Sasa anakwenda wakati hawezi kujibiwa kwa kuwa kampeni zimeisha
 
Nilimstukia yupo Mtungi baada ya kusema "WAMBEA WAKUBWA" kisha kuanza kuimba wimbo ambao hauna kichwa wala Miguu...
 
Mbona hakuyasema hayo awali? Kuwa nje ya nchi kulimzuiaje kujibu hoja kwa njia ya mtandao?
 
si tungi tu. alikuwa chicha. walienda kuuza sura tu pale jangwani. kuonyesha nani mkuu na nani mnyonge. ukiangalia wanataka waonekane wanapatewa shavu na wastaafu wote. wameiga kwa mandela hayo.
 
Nimemsikia jana Mkapa alivyokuwa anabwabwaja na kama ulitmtizama vizuri alikuwa ameunyaka kidogo. Alipata ujasiri wa kuwatukana wapinzani wake kutokana na umati mkubwa uliokuwa umesombwa pale na malori.

Kama yeye ni jasiri kweli -- si aitishe tu mkutano na waandishi wa habari wamuulize kuhusu tuhuma zake za ufisadi kama vile -- Kiwira Coal Mine, EPA, radar na ndege ya Ikulu? Anaogopa nini? Hana ujasiri wowote, ni mwizi tu
.

Wewe ndiyo ulikuwa moja wa madereva wa hayo malori ama?

Mnaanza kujifunza kusema ukweli kidogo kwa kukiri "umati mkubwa"!
 
Back
Top Bottom