Nimeshindwa kufanya mapenzi

Ngoja nikujibu Mdogo wangu, kuna kitu kinaitwa over excitation, ni hali ambayo unakuwa umeijenga juu ya huyo dada sana ni kama unataka kumunyesha maajabu ili akupende kwa kupitia sex, hili tatizo huwa linazidi na baadae utashindwa kabisa kwani kila ukikutana naye utajaribu kufuta makosa ya nyuma. pia unapofanya maandalizi makubwa sana kwenye sex huwa halo hiyo hujitokeza, ni vizuri msijiandae sana yaani mnapanga one week before, itokee tuu either mpo room mnaangalia movie na usimwambie kuwa mnakuja kusex, pia hata kama mtakutana guest basi msiende short time, muende mlale na msianze sex kabisa mpaka usiku wa manane tena asikuanze umuanze wewe kwani akikuanza utaanza tena kuwa na over feelings.
Kitu kingine nachokiona, kwanza huyo dada ameshaliona hilo kama tatizo na pia amekujengea mawazo kuwa kama hutamridhisha atakuacha, hilo ni tatizo kubwa na ni kweli mwisho wa siku atakuonyesha dharau na mtaachana.
Ngoja nikupe ushuuda, nikiwa chuo mwaka wa tatu nilipata kademu ka mwaka wa kwanza, sasa kabla hatujafanya sex ikawa kila mara ananisumbua kuwa anataka tufanye, kwa siku anaweza kunitumia SMS hata kumi kuwa mbona simsikilizi, mimi bado sikuwa tayari ila kwa kuwa nilimpenda tukaenda, kufika chumbani akaanza makeke meengi huku akiniharakisha dah kitu kikagoma kusimama, kama dakika tano tuu akaanza ohoo umenipotezea muda wangu, fanya tuondoke au niondoke zangu, au husimamishi dah nikaendelea kushindwa zaidi, akaamka faster akavaa akaondoka kwa hasira, lile tukio lilidumu kichwani kwa zaidi ya miezi mitano kwani mara ya pili hali ilizidi kuwa mbaya zaidi akawa ananiambia niende hospital eti nina tatizo wakati mimi mwenyewe najijua, kweli nilienda, doctor hakuona tatizo ila akaniambia umepata mshtuko na kisaikolojia hauko fit. Siku ziliendelea mpaka nikawa nasahau kidogo kidogo mwisho nikasahau tukaanza kufanya, ila neno moja ambalo sitasahau aliniambia sasa kama huwezi tutazaaje tukioana, huwa linaniuma mpaka Leo, cha ajabu mm nimeoa na ndoa iko strong na yeye ameolewa ila hajazaa mwaka wa nne huu .
So we relax tuu, na usitumie dawa yeyote ile huna tatizo la nguvu za kiume.
 
Mapenzi sio cha kula kwamba usipofanya utakufa....kama unaona unashindwa achana nayo
 
Kisungu nashukuru sana Kwa ushauri wako mkuu, ukweli unachosema kina substance kubwa mno na ni Cha msingi sana. Hakika naamini kuna substance kubwa sana kwenye ushauri wako. Nimekuwa kwenye mahusiano muda mrefu na nina namba ya kutosha behind, na ukweli upo clear na evidences ninazo Kwa wale wanao jaribu kubeza, wengi wa niliokuwa nao kwenye mahusiano wameolewa na wapi na familia zao cha ajabu mpaka Leo bado wana sneak kutaka kufanya nao sex kwasababu wanajua what I gave to them, sikuwa mtu wa papara katika kuchagua nani napaswa kuwa nae kwenye mahusiano ya kimapenzi. Kwangu hii ni muujiza mkubwa mno, haijawahi kutokea maishani mwangu. Tena Kwa mwanamke decent kiasi hiki ambaye nina chemistry zote nae. Kifupi nimeamua kuwa mpole nimekubali matokeo, kwani attempt zaidi ya 5 si jambo dogo, na kusema issue ya maandalizi kwenye suala hilo siyo sababu hata kidogo kwangu, kwani nimewahi kufanya hivyo na wengine lakini it worked even the best, huyu tume wahi hata kufanya sex wild kabisa Porini kwenye gari, tulisafiri nae kwenye business tu za kimatembezi tukiwa njiani tunarudi nikasema ni hebu tutafute kichaka tuegeshe gari, ukweli aligoma goma na mwisho alikubali na akanipa, it's was embarrassing sana kwani alinikalia na nili push mara kadhaa nikakojoa fast na si kukojoa Kwa maana hata kidogo kwani najua when I real shot navyokuwa. Hata za kwenda home imetokea mara mbili, tunaenda just for talk na kuona issue flani, mwisho wa siku hisia zinapanda sana na kujaribu kufanya kitu inagoma. Anyway bado natafuta kujua kaka kuna zaidi ya over excitation au kitu kingine.
 
Ni wasiwasi wako. Kwa mujibu wa maelezo yako mara ya uli-panic ulikuwa unawaza jinsi gani umpe dozi ya ukweli ili akukubali kuwa unaweza ukiamini itafanya umuweke kwenye himaya yako. Mpaka pale unaanza ngono bado unawaza nifanye hiki kisha kile matokeo yake mawazo yakafanya uharibu. Baada ya kuharibu siku ya kwanza ulipata stress kutokana na kushindwa kwako, ukijiuliza atakufikiriaje, labda atafikiria wewe sio rijali kisha akuache wakati wewe unampenda sana. Siku ya pili ulikuwa na uoga isije kujirudia hali ya zamani. Ni utulivu tu kichwani. Hali hiyo huwatokea watu wengi nikiwemo mimi. Banzi
 
Last edited by a moderator:
Papuchi inapiga shot dushele la Banzi hahahaha

umelala huoo, umelala huo mtarimbo, umelala doroooo

acha kujisifia wewe huna mpyaaaa kwishney dadeeek
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom