Nimeshindwa kufanya mapenzi

Banzi

Member
May 25, 2011
30
9
Habari zenu wanaJF. Nakuja kwenu rasmi kuomba msaada wa mawazo na ushauri. Mimi nimetokea kumpenda dada mmoja mrembo kabisa na ana kila sifa ya mwanamke bora, yupo smart, intelligent na very informed, nilimtaka kimapenzi na baada ya muda Mrefu wa kuwa Na confidence na mimi alinikubali. Tulipanga siku kukutana Kwa ajili ya mazungumzo, nilitafuta hotel nzuri ya 4 star na tukawa na muda mwingi sana wa mazungumzo na baadae kufika kwenye tendo lenyewe. Ukweli hisia zangu zipo juu mno na nina mpenda sana na nia yangu na furaha yangu ilikuwa kumpa mambo mpaka afurahi na alidhike kweli, Cha kustaajabisha, nilishindwa kufanya nae sex onavyopaswa, ukweli ni kwamba ilikuwa inanichukua muda mrefu sana kisimama na kuhitaji tena, hivyo nilifanya nae goal 2 hafifu mno.

Ukweli alisikitika sana halikadharika mimi pia, kwani uwezo wangu naujua vyema. Baada ya hapo tulipanga tena na katika kipindi kisichozidi wiki 3 tulikutana nae lakini hali ilazidi kuwa mbaya zaidi, mara ya mwisho kabisa ni pale tulipofanya romance na ukipofika hatua ya kuvuana chupi na kufanya tendo lenyewe uume wangu ukasinzia kabisa. Nilipatwa na hasira sana pia dada wa watu, ajabu sasa ni pale ambapo nikiachana nae dakika 2 tu najikuta nahitaji sana.

Ndugu zangu nimeshindwa kuelewa nini kimetokea, lakini ukweli wa moyo wangu bado nampenda sana na ninajua ninao uwezo mkubwa katika eneo hilo. Ninayo mifano mingi sana kwani nimekuwa na mahusiano mengi huko nyuma na baadhi yao mpaka Leo bado wanataka ingawa ni wake za watu.

Naombeni msaada na ushauri wenu.
 
Ngono zembe ni hatari kwa maisha yako! Mda mwengine mizimu ya kwenu inakuepusha na matatizo! Oooh!

tehe tehe teh ah haa ha ha uuhu hu huu uuuwii mbavu zangu miee lol thanks God kwa kutuletea huyu kiumbe jf !!
 
Mkuu pole sana fuata tangazo la Invisible kwenye hili uzi na pia mcheki MziziMkavu atakusaidia otherwise chukulia poa dont panic kwani wazuri wapo wengi .
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom