Nimeshindwa kufanya mapenzi!

Banzi

Member
May 25, 2011
30
9
Habari zenu wanaJF, nakuja kwenu rasmi kuomba msaada wa mawazo na ushauri. Mimi nimetokea kumpenda dada mmoja mrembo kabisa na ana kila sifa ya mwanamke bora.

Yupo smart, intelligent na very informed, nilimtaka kimapenzi na baada ya muda mrefu wa kuwa na confidence na mimi alinikubali. Tulipanga siku kukutana kwa ajili ya mazungumzo.

Nilitafuta hotel nzuri ya 4 star na tukawa na muda mwingi sana wa mazungumzo na baadae kufika kwenye tendo lenyewe. Ukweli hisia zangu zipo juu mno na nina mpenda sana na nia yangu na furaha yangu ilikuwa kumpa mambo mpaka afurahi na alidhike kweli.

Cha kustaajabisha, nilishindwa kufanya nae sex inavyopaswa, ukweli ni kwamba ilikuwa inanichukua muda mrefu sana kusimama na kuhitaji tena, hivyo nilifanya nae goal 2 hafifu mno.

Ukweli alisikitika sana halikadharika mimi pia, kwani uwezo wangu naujua vyema. Baada ya hapo tulipanga tena na katika kipindi kisichozidi wiki 3 tulikutana nae lakini hali ilazidi kuwa mbaya zaidi.

Mara ya mwisho kabisa ni pale tulipofanya romance na ukipofika hatua ya kufanya tendo lenyewe uume wangu ukasinzia kabisa.

Nilipatwa na hasira sana pia dada wa watu, ajabu sasa ni pale ambapo nikiachana nae dakika 2 tu najikuta nahitaji sana. Ndugu zangu nimeshindwa kuelewa nini kimetokea.

Lakini ukweli wa moyo wangu bado nampenda sana na ninajua ninao uwezo mkubwa katika eneo hilo. Ninayo mifano mingi sana kwani nimekuwa na mahusiano mengi huko nyuma na baadhi yao mpaka Leo bado wanataka ingawa ni wake za watu.

Naombeni msaada na ushauri wenu.
 
AshaDii na wengine nawaombeni msaada wa mawazo jamani, mwenzenu nataabika ajabu sana.
 
acha kutembea na mapepo na bado yatakukausha mpaka uwe ------- ww unafikiri kila mwanamke huku duniani ni binadamu
 
ha ha pole mkuu, kuna hofu akilini mwako kuhusu huyo mrembo. Pia ondoa papara na punguza kiwango cha hisia, muone wa kawaida, kuwa huru kwake ondoa uoga kwamba utaperfom au laa, na jiamini mwanzo mwisho kuwa wewe ni kidume na unaweza kumpagawisha ukifanya hivyo utaona vile utakimbiza mechi mpaka aombe poo
 
Kweli ndugu yangu nakushauri achana na hiy o dhambi ya uzinzi kwanini usimuoe mkaishi kulikoni kuchukuana na kupelekana pasipostahiili best fanya maamuzi ya busara oa kisha mmiliki kiuhalali ndo maana hayo yanakupata kwani unafanya kinyume na mungu anavyotaka
 
best kwanza poule,pili jaribu kusahau maumiv ya nyuma kama uliwah tendwa,tatu punguza kiwango cha hsia tambuj hsia hupanda zenyewe hazipandishwi,nne inaonesha una wasiwasi na huyo mwanamke,tano usiwe na haraka kwenye uwanja fuata hatua za mapenzi ,sita uwe na iman kuwa huyo ni wako,other wise ukitekeleza hayo ukiona bdo!umelogwa jomba
 
bora kuishiwa pesa au damu watu watakusaidia kuliko kuishiwa nguvu za kiume. coz ukiishiwa nguvu za kiume huwezi kusaidiwa hatakama akiwanazo ndugu yako wa damu.



¶¶jamani!! me najiongelea tu mwenyewe na moyo wangu.
 
natamani hiyo mechi ingekuwa yangu, haki ya nani nisingefanya makosa
jiamin mkuu, tatizo unapania sana!
 
Back
Top Bottom