Nimeshangaa sana, kwani mapenzi ni bora kuliko kazi?

Peril22

JF-Expert Member
Apr 15, 2020
1,422
2,313
Habari za muda huu wakuu.

Nimekuwa kwenye mahusiano na binti mmoja mwanafunzi wa chuo kimoja huku mikoani ambaye nimepewa namba na jamaa yangu anayefundisha shule inayomilikiwa na chuo hicho. Baada ya kupewa namba nikamtafuta tukaongea vizuri tu japo akawa anaonekana kutaka sana kukutana ili kufahamiana zaidi.

Kutokana na ubusy niliokuwa nao na mazingira yangu ya kazi hii kidogo ikawa changamoto nikawa namplease awe na subira kidogo. Kweli tarehe 21 Feb nilipata off ya siku saba nikamuita pale hotelini nilipofikia akaja ila akawa anaumwa, nikampeleka hospital akatibiwa lakini akaandikiwa sindano tano ambapo alichomwa sindano mbili muda huo na kuambiwa atakuwa anakuja kuchoma kila siku mojamoja.

Basi nikamrudisha pale hotelini akapata chakula then nikampeleka chuoni kwao. Alivyofika akawa anatuma msg nyingi sasa mimi siwezi kuchart kwa muda mrefu, nipo busy na issue zingine nikamuomba alale apumzike tutaonana kesho muda wa sindano, kesho nikawa tight nikampa mtu usafiri amfuate ampeleke akachome sindano ikawa hivyo muda wa kurudi akapitishwa pale hotelini akanikuta busy sana nikampa kama dk 10 tukaongea kidogo then nikaendelea na issue zangu nikamwambia aagize chakula ale then apelekwe chuoni.

Kesho yake nikasafiri ila nikaacha usafiri kwa ajiri ya kumpeleka hospitali kwa ajili ya hizo sindano zilizobaki. Nilivyorudi nilikuta amemaliza zile sindano na anaendelea vizuri akaomba kuja pale hotelini nikamwambia karibu, akaja tukapiga story kadhaa nikamuuliza una shida gani, akadai hana shida nikajiongeza nikampeleka shop nikamwambia chukua unachotaka(nikawa nampima) akachukua vitu vya kawaida sana mpaka nikaamua kumsaidia kuchukua vitu vya msingi kwa mtoto wa kike nikatoboka kama 438k nikampa zile risiti zote kuanzia hospital, hotelini, na hapo shop(zinazomhusu yeye) then tukarudi hotelini akakaa kama nusu saa nikamwambia yule jamaa ampeleke chuoni.

Mimi muda wa kurudi kazini umefika namwambia kesho naondoka et analalamika mbona hatujaenjoy sijui vitu gani Mara ongeza siku mbili nipone vizuri tupate muda wa kufanya mapenzi, nikamuuliza ina maana kufanya mapenzi ni muhimu kuliko kazi!? Hilo swali likawa mwiba binti akawaka akaongea mambo mengi sana mimi kidogo siwezi majibizano so nikawa sijibu msg zake.

Mwisho akasema hizo hela zinakupa kiburi, endelea nazo mimi sikuhitaji tena. Kiukweli nilicheka na kuona huruma sana aina ya binadamu tunaoishi nao.
 
Ila mkuu mimi napenda kujuwa wewe namba ya mwanachuo ulitaka ya nini? ulipo kuja maeneo ya mapumziko yako ulimwita muonge nini? (nani mwanafunzi?) huko kumwonyesha kote kumjali kumpeleka hospitali bill za chakula usafiri vyote vilikuwa kwa ajili gani? Gharama zote uli ingia kwa ajili gani? Wewe ni mzazi wake? Una undugu nae?

Conclusion story yako ina ukakasi. Huezi tafuta namba bure eti upate mtu wa kuchat nae tu nani mwanachuo kwanini usichat na wafanyakazi wenzako mpeane mbinu za kupiga deals zaidi? Ulimtamanisha mtoto wa watu na unajuwa kabisa hana kipato cha nje zaidi ya pesa za wazazi kwanini asihisi una mtaka kingono nani udhaifu wao. Je kwanini umwite hotelini ulipo shukia tena bila shaka mlikuwa mna kaa chumbani kwanini msingekuwa mna kutana chuoni? So sioni cha ajabu cha wewe kushanga.
 
Sukari ndogo ongeza kidogo Tafadhari!!
Screenshot_2021-02-18-14-19-58-1.jpg
 
Ila mkuu mimi napenda kujuwa wewe namba ya mwanachuo ulitaka ya nini? ulipo kuja maeneo ya mapumziko yako ulimwita muonge nini? (nani mwanafunzi?) huko kumwonyesha kote kumjali kumpeleka hospitali bill za chakula usafiri vyote vilikuwa kwa ajili gani? Garama zote uli ingia kwa ajili gani? Wewe ni mzazi wake? Una undugu nae?
Conclusion story yako ina ukakasi. Huezi tafuta namba bure eti upate mtu wa kuchat nae tu nani mwanachuo kwanini usichat na wafanyakazi wenzako mpeane mbinu za kupiga deals zaidi? Ulimtamanisha mtoto wa watu na unajuwa kabisa hana kipato cha nje zaidi ya pesa za wazazi kwanini asihisi una mtaka kingono nani udhaifu wao. Je kwanini umwite hotelini ulipo shukia tena bila shaka mlikuwa mna kaa chumbani kwanini msingekuwa mna kutana chuoni? So sioni cha ajabu cha wewe kushanga.
Mkuu huu uandishi wake una elements za utoto na kujimwambafai sana. Mim nawez kumjali dem na akaniletea mapichapicha lakin uanaume sio kuja hadharan kutangaza na kuficha ID ya dem

Kazingua jamaa
 
Tuendelee kuchapa kazi tulijenge taifa letu; wapuuzieni mbali wapenda-starehe & anasa -- si wazalendo; wengi wao ni vibaraka na makuwadi wa mabeberu. They are losers; they are on the very path of complete Peril22 nashukuru sana mkuu
 
Habari za muda huu wakuu.

Nimekuwa kwenye mahusiano na binti mmoja mwanafunzi wa chuo kimoja huku mikoani ambaye nimepewa namba na jamaa yangu anayefundisha shule inayomilikiwa na chuo hicho. Baada ya kupewa namba nikamtafuta tukaongea vizuri tu japo akawa anaonekana kutaka sana kukutana ili kufahamiana zaidi. Kutokana na ubusy niliokuwa nao na mazingira yangu ya kazi hii kidogo ikawa changamoto nikawa namplease awe na subira kidogo. Kweli tareh 21Feb nilipata off ya siku saba nikamuita pale hotelini nilipofikia akaja ila akawa anaumwa, nikampeleka hospital akatibiwa lakini akaandikiwa sindano tano ambapo alichomwa sindano mbili muda huo na kuambiwa ata kuwa anakuja kuchoma kila siku mojamoja. Basi nikamrudisha pale hotelini akapata chakula then nikampeleka chuoni kwao. Alivyofika akawa anatuma msg nyingi sasa mimi siwezi kuchart kwa muda mrefu nipo busy na issue zingine nikamuomba alale apumzike tutaonana kesho muda wa sindano, kesho nikawa tight nikampa mtu usafiri amfuate ampeleke akachome sindano ikawa hivyo muda wa kurudi akapitishwa pale hotelini akanikuta busy sana nikampa kama dk10 tukaongea kidogo then nikaendelea na issue zangu nikamwambia aagize chakula ale then apelekwe chuoni. Kesho yake nikasafiri ila nikaacha usafiri kwa ajiri ya kumpeleka hospital kwa ajiri ya hizo sindano zilizobaki. Nilivyorudi nilikuta amemaliza zile sindano na anaendelea vizuri akaomba kuja pale hotelini nikamwambia karibu, akaja tukapiga story kadhaa nikamuuliza una shida gani akadai hana shida nikajiongeza nikampeleka shop nikamwambia chukua unachotaka(nikawa nampima) akachukua vitu vya kawaida sana mpaka nikaamua kumsaidia kuchukua vitu vya msingi kwa mtoto wa kike nikatoboka kama 438k nikampa zile risiti zote kuanzia hospital, hotelini, na hapo shop(zinazomhusu yeye) then tukarudi hotelini akakaa kama nusu saa nikamwambia yule jamaa ampeleke chuoni. Mimi muda wa kurudi kazini umefika namwambia kesho naondoka et analalamika mbona hatujaenjoy sijui vitu gani Mara ongeza siku mbili nipone vizuri tupate muda wa kufanya mapenzi, nikamuuliza ina maana kufanya mapenzi ni muhimu kuliko kazi!? Hilo swali likawa mwiba binti akawaka akaongea mambo mengi sana mimi kidogo siwezi majibizano so nikawa sijibu msg zake. Mwisho akasema hizo hela zinakupa kiburi endelea nazo mimi sikuhitaji tena. Kiukweli nilicheka na kuona huruma sana aina ya binadamu tunaoishi nao.
Noma sana
 
Ila mkuu mimi napenda kujuwa wewe namba ya mwanachuo ulitaka ya nini? ulipo kuja maeneo ya mapumziko yako ulimwita muonge nini? (nani mwanafunzi?) huko kumwonyesha kote kumjali kumpeleka hospitali bill za chakula usafiri vyote vilikuwa kwa ajili gani? Garama zote uli ingia kwa ajili gani? Wewe ni mzazi wake? Una undugu nae?
Conclusion story yako ina ukakasi. Huezi tafuta namba bure eti upate mtu wa kuchat nae tu nani mwanachuo kwanini usichat na wafanyakazi wenzako mpeane mbinu za kupiga deals zaidi? Ulimtamanisha mtoto wa watu na unajuwa kabisa hana kipato cha nje zaidi ya pesa za wazazi kwanini asihisi una mtaka kingono nani udhaifu wao. Je kwanini umwite hotelini ulipo shukia tena bila shaka mlikuwa mna kaa chumbani kwanini msingekuwa mna kutana chuoni? So sioni cha ajabu cha wewe kushanga.
Hayo yote ni maswali sahihi kabisa mkuu, lakini tunatofautiana mitazamo kwa mimi ngono haina kipaumbele sana.
 
duh yaani wewe unamgharamia mwanamke 480k huku hujamla hahaha duniani tunatofautiana
 
Ila mkuu mimi napenda kujuwa wewe namba ya mwanachuo ulitaka ya nini? ulipo kuja maeneo ya mapumziko yako ulimwita muonge nini? (nani mwanafunzi?) huko kumwonyesha kote kumjali kumpeleka hospitali bill za chakula usafiri vyote vilikuwa kwa ajili gani? Garama zote uli ingia kwa ajili gani? Wewe ni mzazi wake? Una undugu nae?
Conclusion story yako ina ukakasi. Huezi tafuta namba bure eti upate mtu wa kuchat nae tu nani mwanachuo kwanini usichat na wafanyakazi wenzako mpeane mbinu za kupiga deals zaidi? Ulimtamanisha mtoto wa watu na unajuwa kabisa hana kipato cha nje zaidi ya pesa za wazazi kwanini asihisi una mtaka kingono nani udhaifu wao. Je kwanini umwite hotelini ulipo shukia tena bila shaka mlikuwa mna kaa chumbani kwanini msingekuwa mna kutana chuoni? So sioni cha ajabu cha wewe kushanga.
Alaf kweny story piah amesema yeye kuchat hawezi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom