Nimeshamtambulisha nyumbani lakini.........

hv ww unaakili timamu au una makopo kichwan mwako

Nna makopo hadi miguuni!!!!
Lakini sio kama wewe Zombie limbukeni unaeburuzwa! Khaaa! Kuambiwa tu "...bebiii kanitambulise kwenu..." Bichwa hilo, nawe ukampeleka!
...
Sipendi kujibizana na wa.puu.zi! Thus y nilicheka tu!
Ulichokonoa kilichonichekesha, nimekupa, nashangaa unabwaaaata!
...
Hahahahahahahaaaaa...!
Uliza tena kilichonichekesha!
...
 
Yaani wewe ndani ya miezi mitano ushaenda kumtambulisha ? hakika ulibugi meeni, pia kumbuka mazingira mliyokutana nayo yana husika kwa uamuzi aliokufanyia, ila kuwa makini na achana nae kwani amekuepusha na janga kubwa ambalo lingekukumba huko mbeleni.
 
hi wana jf naomben
ushaur wenu...
Kuna dada nilikutana nae maeneo ya mwanza stendi alikuwa anatoka dzm,
nilimpenda xn nikaamua kumuomba namba yake akanipatia tukawa tunachati
na mwisho wa siku 2kakubaliana tuwe wapenzi
Nimekuwanae kimahusiano miezi mitano akadai nimpeleke nikamtambulishe
nyumban kwe2 na mm sikukataa nikampeleka wazaz wng wakamuona
Siku zlvyozid kwenda mbele akasema aende dar kuwasalimia ndugu zake
sikumkataza akaenda
kumbe huko dar kuna mpenz wake alyekuwaga nae kipnd akiwa huko na saiv
ananitumia msg kuwa hanitaki na hanipend simsumbue
JAMANH NFANYAJE NA WAKAT TAYAR NIMESHAMTAMBULISHA NYUMBAN?

Shukuru amekupiga kibuti kwa sababu UKIMWI ulikuwa njiani. Kutambulisha
kitu gani wewe? Wewe tuliza akili na uangalie ustaarabu mwingine. Mwombe
mungu akupatie m2 ambae ana hofu ya mungu na upendo wa dhati.
 
Napenda kukupa pole kwa hayo yaliyokukuta kwani ni sehemu ya maisha. Mshukuru sana Mungu kwa kuruhusu maamuzi hayo kufanyika, huwezi jua angefanya nini hapo baadaye. Kuna wachumba wanatambulishwa, vikao vya harusi vinakaa na michango inakusanywa kisha binti anaghairi ama anatoroshwa na mwanaume mwingine si hivyo tu kuna wengine wanaingia mpaka kanisani kufunga ndoa kisha inashindikana na kubakia historia, kibaya zaidi kuna wengine mpaka wanaoa na maisha huendelea lakini mwishowe ndoa huvunjika, naomba uyatafakari hayo.

Ninachotaka kukuambia ni kwamba maisha yapo na yataendelea, hata mapenzi pia yapo na yatendelea kuwepo. Unatakiwa kukubali matokeo pale inapotakiwa kufanya hivyo ili uweze kuendelea na mambo mengine yenye manufaa kwako. Jiulize uliishije kabla ya kukutana naye stendi na kwanini ushindwe wakati huu? tambua kuwa wanawake wapo wengi sana tena wazuri wa sura na tabia hata kumzidi huyo aliyekuacha, usikubali kuumiza moyo wako kwa mtu ambaye unajua fika kuwa si lazima uwe naye wewe ndo maisha yaende.

Nahitimisha kwa kusema kuwa wewe una thamani kubwa sana katika ulimwengu huu na upo kwa sababu, hivyo usikae na kupoteza furaha kwa mambo ya kupita. Andaa maisha yako kwanza kwa ajili ya manufaa yako binafsi, familiya, jamii na taifa kwa ujumla, ukiendekeza mapenzi hakika unaweza changanyikiwa na kujikuta hujafanya chochote cha maendeleo na mwishowe hata mke mzuri utamkosa maana hata kujiamini utashindwa na yeye atashindwa kukuelewa. Usiruhusu mpenzi wako wa sasa asababishe uishi maisha ya taabu na mkeo iwe ni kwa matatizo ya kisaikolojia ama kimaisha. Msamehe bure songa mbele utampata wako na maisha yatakunyokea.
 
mjibu na wewe sikutaki usijali wazazi jifikirie wewe after ten years utakuwa wapi ka ukimbembeleza akakubali. wazazi wakikuuliza kama ni waelewa waeleze hali halisi.
usilazimishe bwana badae ukaja na thread humu tena ndoa imenishinda. mshukuru mungu amekuepushia mengi.
 
Miezi mitano afu demu analazimisha ukamtambulishe kwenu na wewe ukaona ni sawa.....wasichana ndio tumefikia hapa?????
Amekwambia hakutaki tena unajua uko alipo yuko na mwanaume,sasa unataka ushauri gn tena apa?????JIPANGEEEEEE
 
Shukuru sana kakueleza ukweli wake mapema kukuepushia majanga mbele ya safari.
Kuhusu kumtambulisha, waambie wazazi wako wamsahau maana humtaki tena. Kwani mlitoa mahari?
 
Waambie wazazi wako kwamba umegundua huyo mdada si mwaminifu ana mtu mwingine hivyo umeamua kuachana nae.
 
hahahaaaaaaa...JF raha sana..
Nna makopo hadi miguuni!!!!
Lakini sio kama wewe Zombie limbukeni unaeburuzwa! Khaaa! Kuambiwa tu "...bebiii kanitambulise kwenu..." Bichwa hilo, nawe ukampeleka!
...
Sipendi kujibizana na wa.puu.zi! Thus y nilicheka tu!
Ulichokonoa kilichonichekesha, nimekupa, nashangaa unabwaaaata!
...
Hahahahahahahaaaaa...!
Uliza tena kilichonichekesha!
...
 
Mkuu huna sababu ya kumng'ang'ania mtu asiyekupenda, unachotakiwa kufanya ni kuachana naye. Kwanza bora amekwambia mapema kuwa hakupendi kabla hamjaingia kwenye ndoa vinginevyo ingekuwa ni hatari. Kuhusu wazazi waeleze ukweli sidhani kama watakuwa na shida.
 
Mambo ya Vegas uishia Vegas, mambo ya stendi uishia stendi, nenda tena stendi utapata mwingine.

hi wana jf naomben ushaur wenu...
Kuna dada nilikutana nae maeneo ya mwanza stendi alikuwa anatoka dzm, nilimpenda xn nikaamua kumuomba namba yake akanipatia tukawa tunachati na mwisho wa siku 2kakubaliana tuwe wapenzi
Nimekuwanae kimahusiano miezi mitano akadai nimpeleke nikamtambulishe nyumban kwe2 na mm sikukataa nikampeleka wazaz wng wakamuona
Siku zlvyozid kwenda mbele akasema aende dar kuwasalimia ndugu zake sikumkataza akaenda
kumbe huko dar kuna mpenz wake alyekuwaga nae kipnd akiwa huko na saiv ananitumia msg kuwa hanitaki na hanipend simsumbue

ashakwambia hakutaki kubali matokeo kama swala utawaambia nini wazazi usiumizi kichwa umeona mdada hatai kuwa mke umemwacha
 
hi wana jf naomben ushaur wenu...
Kuna dada nilikutana nae maeneo ya mwanza stendi alikuwa anatoka dzm, nilimpenda xn nikaamua kumuomba namba yake akanipatia tukawa tunachati na mwisho wa siku 2kakubaliana tuwe wapenzi
Nimekuwanae kimahusiano miezi mitano akadai nimpeleke nikamtambulishe nyumban kwe2 na mm sikukataa nikampeleka wazaz wng wakamuona
Siku zlvyozid kwenda mbele akasema aende dar kuwasalimia ndugu zake sikumkataza akaenda
kumbe huko dar kuna mpenz wake alyekuwaga nae kipnd akiwa huko na saiv ananitumia msg kuwa hanitaki na hanipend simsumbue
JAMANH NFANYAJE NA WAKAT TAYAR NIMESHAMTAMBULISHA NYUMBAN?

Kijana sijakuelewa unataka nini?
 
Wanawake wengine maajabu sana,wanaona ujiko labda kutambulishwa kwa watu ovyo angali wanajua wazi kwamba hawajapenda toka moyoni.
Tabia mbaya hii wadada acheni.
 
hi wana jf naomben ushaur wenu...
Kuna dada nilikutana nae maeneo ya mwanza stendi alikuwa anatoka dzm, nilimpenda xn nikaamua kumuomba namba yake akanipatia tukawa tunachati na mwisho wa siku 2kakubaliana tuwe wapenzi
Nimekuwanae kimahusiano miezi mitano akadai nimpeleke nikamtambulishe nyumban kwe2 na mm sikukataa nikampeleka wazaz wng wakamuona
Siku zlvyozid kwenda mbele akasema aende dar kuwasalimia ndugu zake sikumkataza akaenda
kumbe huko dar kuna mpenz wake alyekuwaga nae kipnd akiwa huko na saiv ananitumia msg kuwa hanitaki na hanipend simsumbue
JAMANH NFANYAJE NA WAKAT TAYAR NIMESHAMTAMBULISHA NYUMBAN?

Miezi mitano tu umemtambulisha ulikuwa unakimbilia wapi?

Kubali hali halisi songa mbele
 
Back
Top Bottom