Nimeshamtambulisha nyumbani lakini.........

Jikaushe tu
tafuta mwingine...wakikuuliza yule vipi
waambie nimegundua hanifai,nimemuacha
 
duh hahahah noma xn.

Mwanaume mzima huwezi andika like this,nilimpenda xn, 2kakubaliana, wazaz wng, kwe2 na mm.... yaani unadhihirisha vile you are JUST A BOY.
hivi kweli kwa wadada inaleta maana kweli mumeo (maana umesema umemtambulisha kwenu, means wataka kumuoa) ndo anakuandikia sms au barua kama anavoandika huyu?
 
hi wana jf naomben ushaur wenu...
Kuna dada nilikutana nae maeneo ya mwanza stendi alikuwa anatoka dzm, nilimpenda xn nikaamua kumuomba namba yake akanipatia tukawa tunachati na mwisho wa siku 2kakubaliana tuwe wapenzi
Nimekuwanae kimahusiano miezi mitano akadai nimpeleke nikamtambulishe nyumban kwe2 na mm sikukataa nikampeleka wazaz wng wakamuona
Siku zlvyozid kwenda mbele akasema aende dar kuwasalimia ndugu zake sikumkataza akaenda
kumbe huko dar kuna mpenz wake alyekuwaga nae kipnd akiwa huko na saiv ananitumia msg kuwa hanitaki na hanipend simsumbue
JAMANH NFANYAJE NA WAKAT TAYAR NIMESHAMTAMBULISHA NYUMBAN?

Mtafute mwingine stand ukamtambulishe.
 
Ishatokea cha kukushauri ni kuwazalisha tu na kuwaacha wala usiwatambulishe kwenu
hiyo ndo itakua dawa men
 
USIMSUMBUE kama anavyokuambia, dem akishakuambia hivyo usipoteze muda wako tena kwake!!

ndo ilivyo me janamke ya sikuhizi haijielewi wala kuwa na mapenzi ya kweli, me nshaamua kuachana nao na kuwa huru kabisaa
 
Gawizzaa !! mwache aendezake, kesho utapata mwengine... Na Nyumbani atapendwa "kwani wewe ni mwindaji mzuri" Wazee wanasubiri mawindo yako !!!!! Baweejaaah:::
 
Mkuu huyo binti kakupiga chaga kali sana. Pole aisee

Ushauri inabidi ujaribu kutumia propaganda kwa wazazi wako wajue kuwa wewe ndiyo umemuacha biniti sababu ana tabia mbaya na kwa kukufanya hivi itakuondelea aibu kuliko kujulikana kuwa wewe ndiyo umepigwa chaga.
 
hi wana jf naomben ushaur wenu...
Kuna dada nilikutana nae maeneo ya mwanza stendi alikuwa anatoka dzm, nilimpenda xn nikaamua kumuomba namba yake akanipatia tukawa tunachati na mwisho wa siku 2kakubaliana tuwe wapenzi
Nimekuwanae kimahusiano miezi mitano akadai nimpeleke nikamtambulishe nyumban kwe2 na mm sikukataa nikampeleka wazaz wng wakamuona
Siku zlvyozid kwenda mbele akasema aende dar kuwasalimia ndugu zake sikumkataza akaenda
kumbe huko dar kuna mpenz wake alyekuwaga nae kipnd akiwa huko na saiv ananitumia msg kuwa hanitaki na hanipend simsumbue
JAMANH NFANYAJE NA WAKAT TAYAR NIMESHAMTAMBULISHA NYUMBAN?

kaka ngosha wenzio hawakurupuki kumpeleka kwenu wanawake wa sk hzi matapel. Ukimpata mwngne hakiksha unamfaham kiundan au mzalishe kabisa wakat huo kwao wanakufaham ndo mwishon unampeleka kwenu lasivyo home kwenu watakuona hujatulia
 
Unawajua wanawake vizuri au unabahatisha...........?
hi wana jf naomben ushaur wenu...
Kuna dada nilikutana nae maeneo ya mwanza stendi alikuwa anatoka dzm, nilimpenda xn nikaamua kumuomba namba yake akanipatia tukawa tunachati na mwisho wa siku 2kakubaliana tuwe wapenzi
nimekuwanae kimahusiano miezi mitano akadai nimpeleke nikamtambulishe nyumban kwe2 na mm sikukataa nikampeleka wazaz wng wakamuona
siku zlvyozid kwenda mbele akasema aende dar kuwasalimia ndugu zake sikumkataza akaenda
kumbe huko dar kuna mpenz wake alyekuwaga nae kipnd akiwa huko na saiv ananitumia msg kuwa hanitaki na hanipend simsumbue
jamanh nfanyaje na wakat tayar nimeshamtambulisha nyumban?
 
kama amesema hakutaki sasa wa nini tena?.....yaani jambo dogo namna hiyo umeshindwa kuliamua? .........zombie
 
Back
Top Bottom