Nimesababisha depression kwa mtoto wa watu

Kwenye Huo uzi hakusema kuw hakuna Ukimwi, bali hakuna HIV anayesababisha Ukimwi ( upungufu wa kinga mwilini).. akaendelea kuandika ukimwi unasabbishwa na mambo mbali mbali kama matumizi ya antibiotics kwa muda mrefu, ukoesfu wa antioxidant, malnutrition na nk. Na kuwa upungugu wa kinga mwilini hauwezi kumuambukiza mtu mwingine upungufu wako.....

Na kuwa matumizi ya ARV yana madhara?
 
Ungekuta non- reactive, ungesex nae. Si ndio?

Vp kama, bado antibodies hazijawa detected lakini tayari ana infection.??
Mwambie na ww huyu mwehu! Eti nampima! Ona sasa, inawezekana likawa likilimo kama lililotoa +ve jabir, na papai kumbe ni false positive! Mfyuuuuuu 😡!
 
Mkuu ndio utaratibu wangu, siwezi kula mtoto mpya bila kupima.
Umesema ni mtumishi kituo cha afya? Hivi taratibu za kumpima mtu HIV zikoje? Na taratibu za kumpa majibu zikoje? Na vipi ingetokea majibu kwa upande wako yangekuwa mabaya, ungemwambia? Au ndio ungemkomoa kwa kumla ili apate na yeye?

Mtakuja kuua watu. Kama unataka nendeni wote kituo cha afya mpimwe na mtu tofauti ili kila mmoja asikilizie moto wa kusubiri majibu.

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Umesema ni mtumishi kituo cha afya? Hivi taratibu za kumpima mtu HIV zikoje? Na taratibu za kumpa majibu zikoje? Na vipi ingetokea majibu kwa upande wako yangekuwa mabaya, ungemwambia? Au ndio ungemkomoa kwa kumla ili apate na yeye?

Mtakuja kuua watu. Kama unataka nendeni wote kituo cha afya mpimwe na mtu tofauti ili kila mmoja asikilizie moto wa kusubiri majibu.

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
Mkuu mara zote huwa na kipimo zaidi ya kimoja, nikimaliza kumpima mlengwa na mimi hujipima ili aone majibu yangu then tunapiga nyama kwa nyama. Lakini pia siku mrembo anayokuja magettoni huwa najipima kwanza alone ili nijijue niko katika state ipi.
 
Habari za jioni wapendwa.

Mimi ni mtumishi wa afya katika moja ya hospitali zilizoko jiji la Makalla. Mwanzoni mwa wiki iliyoisha alikuja mrimbwende mmoja kumuuguza rafiki yake aliyekua kalazwa hospitalini kwetu.

Nilimwelewa sana huyu mlimbwende nikajisemeha huyu mtoto siwezi muacha hivihivi. Nilipambana mpaka nikapata namba, tukaanza wasiliana, nikamtemea mistari akajaa. Tukakubaliana weekend ya jana jpili aje kunisalimia magettoni ( kumchakata). Japo nilimgusia swala la kupima afya zetu akakubali bila ubishi.

Sasa jana mtoto katimba nikamkaribisha vizuri magettoni, story mbili tatu hivi, baadae nikamuuliza tunaweza kucheki afya zetu akakubali nikatoa vipimo na kuanza kumpima yeye kwanza. Majibu yalitoka yenye mkanganyiko, kipimo kilisoma kwenye T na C ikabidi nitulie baada ya muda nikarudia tena na majibu yakaja kama ya kwanza. Nilitumia ORAQUICK HIV SELF-TEST.

Kiukweli stimu za kumgegeda zilikata nikabaki tu nampigisha story. Japo alianza kulia pale nikambembeleza akatulia. Nikamwambia majibu si kwamba una HIV bali unahitaji kipimo cha kutumia damu. Nikamshauri akiwa tayari anaweza kwenda kituo cha afya karibu yake au akaja napofanya kazi tukamcheki zaidi.Alinyong'onyea sana mpaka nikajuta kwann nilimpima.
Aliondoka akiwa mnyonge sana.

Leo nimeongea nae kashindwa kwenda kazini mawazo yamemjaa na hukula toka asubuhi, imebidi jioni hii ninunue msosi na kumpelekea anapoishi. Kwa sasa naondoka narudi magettoni lakini sina amani, amejawa na mawazo sana japo nimemshauri vya kutosha kwamba majibu hayakuonesha kwamba ana HIV lakini imekua ngumu kwake kuelewa. Naogopa asije fanya maamuzu mabaya, mbaya zaidi anaishi mwenyewe.
NIKOSA AMANI JUU YA HUYU BINTI WA WATU.

View attachment 1818882
Umetua proffession yako vbaya
Kwani kila demu laZima umpime kisa tu unavifaa?? Au kisa ww dokta??
 
Stori za vijana hizi.Mnanikumbusha enzi zile nawafunga kamba washkaji.Uongo mwingiiii!
Mimi kweli mleta Mada hajanifurahisha kabisa, huwezi pima kila msichana kabla ya kutembea naye kwanza ni udhalilishaji hata stimu inakata kwanza
hizi ni hadithi za vijana, sasa akioa si kila mara atampima mke wake akitoka kazini. hata km mke atakuwa Nurse ni lazima kwanza aende akachukuwe majibu kwa mtaalam na NASAHA sio mtaalam wa kupima mikoja Maabara HII NI CHAI jamani
cc hopetumain
 
Unafanya(ga) cyo poa mzee ... Nimewahi kuwa na jamaa yangu dk. kwa sasa marehemu. Yeye alikuwa(ga) awanapima bila kujua, akishamzimia anasubiri hadi siku akienda hospital anaumwa then anampima na STDs & HIV....
Juzi pia nimeenda hosp moja naumwa, ajabu ugonjwa ulikuwa sio was kupima HIV, ila nikashangaa nafika maabara naambiwa kipimo kimoja nenda CTC. Heee, nikabaki nashangaa tu imekuwaje tena nimeandikwa kupima HIV jamani
 
Back
Top Bottom