Nimerudi my sweet Charminglady: Wanga wajinyonge......

platozoom

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
9,366
11,155
Nisamehe My Sweet heart honey nayekupenda….
Nilikuwa nakujaribu nione kama unanipenda
Nikajificha mbali ili nione watakaolonga
Nimerudi ulingoni nione atakaye kutenda

Usijali ya wambea wakisikia watakonda
Nimesikia ya @Mur-sir na Erickb52 eti wanakupenda
Ni waongo usiwasikilize nyoyoni wamejaa inda
Najua na Bishanga alitaka kukulaghai umpende
Lakini nimetulia tuli muhibu wako njoo unipe denda

My heart my soul.jpg
 
We nae unanchekesha,mtoto keshapandishwa pipa na judgement wako Acapulco holiday wendo unakuja na ngonjera hapa?
We kaugulie tu maumivu.
 
Acha udaku utasutwa...mtoto nimemmiliki 1000% kama unabisha nimwite...hallo my charminglady
 
Last edited by a moderator:
Kweli leo ndy nimeamini kwa vipi huyu Mzee Byshanger wanamsuta kila uchao!
Bwana Platozoom sihusiki na relation yeyote na mama ya boma yako!
Muulize katoa wp hiyo maneno? Akupe na evidence .
 
platozoom nahisi kama ishakula kwako tayari ila ngoja tuone kama Judgement hakukamilisha utaratibu wa kumcheat beibe nasty kwa mkeo ila tuko pamoja usijali kizuri kula na ndugu yako
BTW tulikumiss sana karibu sana

Nimerudi kwa kishindo wanga wote wakae chonjo....... Judgment sina wasiwasi naye uliona wapikidume anaogopa nyoka wa kibisa
 
Last edited by a moderator:
Kweli leo ndy nimeamini kwa vipi huyu Mzee Byshanger wanamsuta kila uchao!
Bwana Platozoom sihusiki na relation yeyote na mama ya boma yako!
Muulize katoa wp hiyo maneno? Akupe na evidence .

Nimesikia sana story zako................wewe jitetee tu...Sasa hivi naelekea kwa Mzizi mkavu afanye mambo
 
Last edited by a moderator:
Kweli leo ndy nimeamini kwa vipi huyu Mzee Byshanger wanamsuta kila uchao!
Bwana Platozoom sihusiki na relation yeyote na mama ya boma yako!
Muulize katoa wp hiyo maneno? Akupe na evidence .

Acha woga kamanda,mjeshi haogopi mlio wa risasi!
 
Kweli leo ndy nimeamini kwa vipi huyu Mzee Byshanger wanamsuta kila uchao!
Bwana Platozoom sihusiki na relation yeyote na mama ya boma yako!
Muulize katoa wp hiyo maneno? Akupe na evidence .
we uache uongo! si uliniPM kuniambia Amyner manyoya chali ushamnyonyoa? tena ukaniambia kiuno chako kimepoa, lol!
 
Last edited by a moderator:
Nisamehe My Sweet heart honey nayekupenda….
Nilikuwa nakujaribu nione kama unanipenda
Nikajificha mbali ili nione watakaolonga
Nimerudi ulingoni nione atakaye kutenda

Usijali ya wambea wakisikia watakonda
Nimesikia ya @Mur-sir na Erickb52 eti wanakupenda
Ni waongo usiwasikilize nyoyoni wamejaa inda
Najua na Bishanga alitaka kukulaghai umpende
Lakini nimetulia tuli muhibu wako njoo unipe denda

View attachment 57080

mwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah karibu my hezbend.................. pokea hiyo zawadi ya kiss
 
Back
Top Bottom