Nimerudi my sweet Charminglady: Wanga wajinyonge......

We nae unanchekesha,mtoto keshapandishwa pipa na judgement wako Acapulco holiday wendo unakuja na ngonjera hapa?
We kaugulie tu maumivu.

aaaaaaaahhhhhh wapi Bishanga huna lolote hebu check mazawadi yenyewe hhhhha utajibeba!!!!! handbag.gif handbag.gif dah!.jpg
 
Attachments

  • yeuwiii!.jpg
    yeuwiii!.jpg
    17.2 KB · Views: 16
Last edited by a moderator:
Nimesikia sana story zako................wewe jitetee tu...Sasa hivi naelekea kwa Mzizi mkavu afanye mambo
mi nashangaa kwanini unaniogopa wakati mimi ndo nachukua mzigo. Hata wiki iliyo isha nlikuwa naye tarime pale majengo. usionee dagaa onea kambale. mia
 
Unazungumzia majengo kwa watoto wa mama..mimi mtoto wa Magamaga kwa waliopinda...wewe tia pua uone mziki
 
Back
Top Bottom