Nimepotelewa na vyeti - masoud mpenzwa 0713096229

masoudmpenzw

Member
Jul 5, 2011
7
0
Tafathari kwa yeyote aliyepata taarifa tuwasiliane 0713096229, nimepotelewa na vyeti vyote vya taaruma kuanzia O' level mpaka chuo kikuu (Mzumbe university) bila kusahau leaving Certificates na cheti cha kuzaliwa.
 
Wew ulikuwa unaenda navyo wap vyet vyote hvyo! Tangaza na dau ili hata mtu akivipata ajue kuna neema
 
Wew ulikuwa unaenda navyo wap vyet vyote hvyo! Tangaza na dau ili hata mtu akivipata ajue kuna neema

Ondoa njaa hapa, neema ya nini? Unataka kupata hela kwa njia ya shortcut we kama umeokota rudisha
 
Ripoti polisi kwanza huwezi jua atakayevipaya atafanyia jambo gani litalokuingiza wewe matatizoni. Then toa tangazo gazetini, gazeti likishatoa tangazo jaza form ya NECTA (Download kwny web yao) ambatanisha na hilo tangazo na ripoti ya polisi watakuandalia vyeti vipya (vya 4 na 6) bt kuna gharama za kulipia hapo. Cheti cha kuzaliwa pia ukiwa na loss report unaweza kuapply kipya. Kuhusu vyeti vya vyuo bila shaka kuna utaratibu wa kupatiwa cheti kipya in case of loss, pitia examination regulations au prospectus ya Mzumbe. Anza taratibu hizo wakati unatafuta vilivyopotea coz unaweza usivipte.
 
Sasa mkuu ujasema umepotezea eneo gani sehemu ulikuwa unasafiri ili watu wajue zaidi at a jina ujaweka auko seriously
 
Sasa mkuu ujasema umepotezea eneo gani sehemu ulikuwa unasafiri ili watu wajue zaidi at a jina ujaweka auko seriously
Hivi umesoma vizuri au unakurupuka hujaona jina hapo, anyway nimepotezea maeneo ya Ubungo nadhani nimejibu swali lako jina ni Masoud Mpenzwa
 
Back
Top Bottom