rmashauri
JF-Expert Member
- Jan 29, 2009
- 3,011
- 454
Sarakasi
kweli mkuu,
tatizo kama lile huwa linachukua muda kuisha. huyu anafanya usanii tu, anatest kuona kama kuna great thinkers hapa!!!!!!!!
Mazingaobwe hayatakaa yaishe JF!
Huyu jamaa ni mtaalamu wa kutunga stori. Maana kuna siku alisema kuna mama mmoja tena mke wa mtu anamtaka kwa kuwa alimwona yuko peke yake nyumbani na kuna siku alimkumta anafua. Mara akawa anamfuata nyumbani kwakwe waende wote kanisani. Baada ya siku nne anakuja anasema anaishi na mwanamke na mtoto wa kike wa dada yake na kawakuta wanasagana. Hazikupita siku nne tena anasema "mtarimbo wake haufanyikazi vizuri kwa "maiwaifu" wake. Leo kishapona. Unaona mtiririko wa uongo wa huyu jamaa!