mh! kuitwa tu kwenye usaili ndio umetupia humu JF hahahahahah aiseeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!
Nashukuru kwa kunielewaUmesoma UDOM mkuu? Mbona swala lake lipo wazi kabisa, hajasema kama ishu kwake ni kuitwa interview ila kauliza kuhusiana na uhakiki. Siku nyingine soma na uelewe kabla haujakiaibisha chuo chako UDOM
Sio kosa lako.... kuna kitu hakiko sawa kichwani mwakomh! kuitwa tu kwenye usaili ndio umetupia humu JF hahahahahah aiseeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!
bangi hiziNDIO NILISOMA UDOM NA WAZAZI WAKO
Accountantuliomba nafasi gani mkuu?
Wadau inawezekana uhakiki umekwisha au unakaribia kwisha, nimepigiwa simu kuitwa kwenye usahili Mfuko wa Rais wa kujitegemea (TASAF). Kuna mdau
yeyote amepigiwa simu pia?
Sio kosa lako.... kuna kitu hakiko sawa kichwani mwako
Umepigiwa usaili upo lini?Wadau inawezekana uhakiki umekwisha au unakaribia kwisha, nimepigiwa simu kuitwa kwenye usahili Mfuko wa Rais wa kujitegemea (TASAF). Kuna mdau yeyote amepigiwa simu pia?