Nimependwa na jimama nifanyeje?na kuna tetesi kuwa mme wake alikufa kwa ugonjwa wa ukimwi

MWENDAPOLE1

Member
Dec 8, 2011
26
1
Hapa chuon kwetu kuna mama anafanya kazi ktk ofisin fulani ,na nmekuwa classrep kwa muda toka nikiwa first year mpaka sasa second year,kinachonishangaza ni huyu mama anayefanya kazi kwenye hii ofisi ye kila akiniita anapenda tuongelee mambo ya mapenz kwa kunidodosa kama mimi nina mchumba au laah,kwa kuwa nilkiuwa namuheshimu nilishndwa kumwambia kwamba ninaye ,ila siku zilivozid kwenda siku moja natoka maeneo ya mwenge naelekea ghetto kwangu nlishangazwa sana mara baada ya kuonana naye,pale pale akaniuliza ninaenda wapi nami nikamjibu naelekea kwangu ,akaniomba kama naelekea ghetto kwangu si mbaya kama yeye akinipa lift,kwa kuwa nlkuwa nashida nilikubali.tulipoanza safari kwenda kwangu ktk ktk ya maongezi aliniambia kwamba ananipenda sana,nlishangaaa sana kusikia maneno kama hayo hsa ukizingatia ni mama mtu mzima ma watoto, jaman wana jf wenzangu hebu naombeni mnipe ushauri nimkubalie ombi lake? Pili kuna tetesi kuwa mme wake alikufa kwa ukimwi miaka mitatu iliyopita hichi nacho ndo kinaniogopesha sana! Nikikataa sijui chuo akiniona au tukionana itakuwaje? Nmefikiria sana nmeshndwa kupata jibu sahihi hivyo nawaomba wanajf wenzangu mnisaidie nifanye nini?
 
ninaye vila sikumweleza hii inatokana na uoga nilikuwa nao ,kwani nilikuwa namuheshimu kama mama yangu na kingine kuna wakat alkuwa akinipigia usiku uku akinitakia usiku mwema ,2kimaliza kuongea naye kwenye simu anapenda kuni2mia vocha ya elfu2
 
Jilipue, kwanza dawa ya ukimwi inapatikana soon,trust me! Si umesema una shida (ya lift)?

Mwendapole ushauri huu umeletwa na King'asti kwa hisani ya Mneli, ukiufuata tu tumekupoteza, lol
 
achana na biashara ya mijimama ukizowea hutakuja kuacha! Piga kitabu, asikuharibie ratiba za life yako.
 
Mneli?
Kama hajapotea hadi leo kwa akili hizi za kupepea what makes u think ushauri huu unaweza kumpoteza msomi wa chuo kikuu cha mlimani?lol
Mwendapole ushauri huu umeletwa na King'asti kwa hisani ya Mneli, ukiufuata tu tumekupoteza, lol
 
:thinking: nashukuru m mwenzenu nmekuwa n m2 nisye na aman hasa toka hl jambo lmenifa lakufika
 
Piga kavu muupate utamu live,kondomu za nn? alafu wabongo vichwa maji, hapo jamaa kashalamba mama ake alafu anaomba ushauri! akikaa vibaya mtigolise!
 
Ogopa dhambi hiyo na uikimbie kama ukoma.Huyo hawezi kuamua hatima ya masomo yako.Angalia sana wapi unakoelekea usije ukapoteza ndoto zako zote na kujutia milele.
Ni hayo tu,mwenye masikio na asikie.
 
Ebu fikiria mzazi wako (babako/mamako) anakuja kusikia kuwa unatembea na jimama mwenye umri kama wake, atajiskiaje? atakuonaje mwanawe?
 
idd spo hvyo ,m n m2 mwenye kujieshmu na kuheshmu wengine ningependa kama ungenpa ushaur mzur hata siku moja nije nfanye refference nakuona kwel nlkuwa sawa kwa maamuz yangu
 
vijana wa siku hz mnapenda vya bure sana. Ukitongozwa ndo waja kuomba ushauri? Kama hujampenda huyo mwanamke si umwambie humtaki? Kama unampenda au una shida na hela yake c umwambie mkapime ngoma ili uwe nae? Sisi hatuwezi kujua hisia zako.
 
Hapa chuon kwetu kuna mama anafanya kazi ktk ofisin fulani ,na nmekuwa classrep kwa muda toka nikiwa first year mpaka sasa second year,kinachonishangaza ni huyu mama anayefanya kazi kwenye hii ofisi ye kila akiniita anapenda tuongelee mambo ya mapenz kwa kunidodosa kama mimi nina mchumba au laah,kwa kuwa nilkiuwa namuheshimu nilishndwa kumwambia kwamba ninaye ,ila siku zilivozid kwenda siku moja natoka maeneo ya mwenge naelekea ghetto kwangu nlishangazwa sana mara baada ya kuonana naye,pale pale akaniuliza ninaenda wapi nami nikamjibu naelekea kwangu ,akaniomba kama naelekea ghetto kwangu si mbaya kama yeye akinipa lift,kwa kuwa nlkuwa nashida nilikubali.tulipoanza safari kwenda kwangu ktk ktk ya maongezi aliniambia kwamba ananipenda sana,nlishangaaa sana kusikia maneno kama hayo hsa ukizingatia ni mama mtu mzima ma watoto, jaman wana jf wenzangu hebu naombeni mnipe ushauri nimkubalie ombi lake? Pili kuna tetesi kuwa mme wake alikufa kwa ukimwi miaka mitatu iliyopita hichi nacho ndo kinaniogopesha sana! Nikikataa sijui chuo akiniona au tukionana itakuwaje? Nmefikiria sana nmeshndwa kupata jibu sahihi hivyo nawaomba wanajf wenzangu mnisaidie nifanye nini?

dawa ya mimama kama hiyo ni kuipiga kavukavu, tena unaisugua haswa hadi umchubue
 
Back
Top Bottom