Nimepatwa na msiba, kwa atakayetaka kuja kuomboleza nami karibu

CONTROLA

JF-Expert Member
Sep 15, 2019
6,939
22,989
Jamii Forum ni mtandao wa watu ni Jamii yenye watu wote kama tulivyo mitaani,Nimepatwa na MSIBA wa babu yangu mzaa MAMA (baba wa mama yangu) naelekea Arusha siku ya kesho Usiku mida ya saa 1 hivi nitaianza safari.

Nimetamani na nimejisikia kuomba mwana JF uliepo Arusha tujumuike pamoja kuelekea msibani (nyumbani kwetu) maziko yatafanyikia MOSHI siku ya JUMANNE lakini tumeanza kuwasili nyumbani kuanzia jana umauti ulipomchukua BABU.

Nawaomba wana JF mliopo ARUSHA tujumuike pamoja katika IBADA hii ya mwisho kwa BABU yangu,uwepo wako tu utakua faraja kwangu/mama/wajomba na watu wengine wa familia.

Nyumbani ni SAKINA mtaa wa Ilkiurei TRIPLE A ilipo ile njia inapandisha kule juuu huko ndio nyumbani,yeyote ulie karibu utakae weza jumuika pamoja nami karibu sana,tuianze safari pamoja.

Ombi langu ni Kampani yenu tu twende pamoja..kwa Wale mtakaoguswa tu katika hili.

Kwa atakaehitaji kuungana nami ARUSHA Tar 29 karibu sana nyumbani,Nipigie nitakuelekeza Nilipo au nitakufuata kukuleta nyumbani.

NAMBA ZANGU ZA SIMU kwa mtakaotamani kuungana nami Karibu PM.
 
Ubafika shule ya msingi Kiurei?
Utanipitia hapa White Rose🌹
[Inawezkana hua tunapishanaga njiani]🏃

Pole lakini kwa kufiwa mkuu, stay strong
Yeah unapta shule ya msingi Kiurei,unapandisha kule juu kama unaenda kule Darajaniiiii

asante Mkuu,nishapoa!
 
Poleni kwa msiba [mention]CONTROLA [/mention] , mwenyezi Mungu awape subra na heri katika kipindi hiki mnachopitia
 
Jamii Forum ni mtandao wa watu ni Jamii yenye watu wote kama tulivyo mitaani,Nimepatwa na MSIBA wa babu yangu mzaa MAMA (baba wa mama yangu) naelekea Arusha siku ya kesho Usiku mida ya saa 1 hivi nitaianza safari.

Nimetamani na nimejisikia kuomba mwana JF uliepo Arusha tujumuike pamoja kuelekea msibani (nyumbani kwetu) maziko yatafanyikia MOSHI siku ya JUMANNE lakini tumeanza kuwasili nyumbani kuanzia jana umauti ulipomchukua BABU.

Nawaomba wana JF mliopo ARUSHA tujumuike pamoja katika IBADA hii ya mwisho kwa BABU yangu,uwepo wako tu utakua faraja kwangu/mama/wajomba na watu wengine wa familia.

Nyumbani ni SAKINA mtaa wa Ilkiurei TRIPLE A ilipo ile njia inapandisha kule juuu huko ndio nyumbani,yeyote ulie karibu utakae weza jumuika pamoja nami karibu sana,tuianze safari pamoja.

Ombi langu ni Kampani yenu tu twende pamoja..kwa Wale mtakaoguswa tu katika hili.

Kwa atakaehitaji kuungana nami ARUSHA Tar 29 karibu sana nyumbani,Nipigie nitakuelekeza Nilipo au nitakufuata kukuleta nyumbani.

NAMBA ZANGU ZA SIMU kwa mtakaotamani kuungana nami Karibu PM.
Kule juu manguruweni unapita Ile shule ya msingi?
 
Back
Top Bottom