Nimepata Msiba, Nitarudi Jamvini Soon!!

Msifadhaike mioyoni mwenu, mwaminini Mungu maana yeye ni Mungu wa faraja.
Kwa kuwa imeandikwa mwanadamu kufa, hivyo hufa mara moja na baada ya kifo hukumu.
Tutende yaliyo mema maadam tungali hai maana hakuna ajuaye siku wala saa.

Mungu na awape kustahmili kipindi hiki kigumu.
 
Pole sana ndugu yangu. Ni kazi ya mola. Tuombe subira na tunamwombea marehemu malazi mema.
 
Back
Top Bottom