Kuna wajinga watakufata dmSawa ni demo. Njoo na wewe
Darling, hapa ndo naanza tuAkili yako imefika mwisho wa kufikiria
Hii njia Ina miba, nenda polepole mbele Kuna matapeli😂😂😂😂😂,,,
😂😂😂😂,,Signal za mchongo hzo uwezo bado kijana
Sawa jitahidi ila hebu soma kwanza hapa alafu uje tena kucomment, ukisha maliza hapo uje sasa na akili mpyaView attachment 12 Simple Technical Indicators (2007).pdfView attachment Price Action.pdfView attachment 25_Rules_Of_Forex_Trading_Discipline.pdfDarling, hapa ndo naanza tu
Sawa ndiyo maana nimesema sifundishi sitaki lawama nimetoa na nots msome wenyewe , ukishindwa ingia youtube huko utajua au cheza na news . Japo news lazima uangamieHii njia Ina miba, nenda polepole mbele Kuna matapeli
Mnasemaga hivi tuDM SIPOKEI MTU YEYOTE YULE
Au sio...kwahyo nawewe ni Ontario part 2 sioSawa ndiyo maana nimesema sifundishi sitaki lawama nimetoa na nots msome wenyewe , ukishindwa ingia youtube huko utajua au cheza na news . Japo news lazima uangamie
Ukikomaa na moving average asilimia 80 hulali njaa. Ila usiwe na tamaa tuu.
umepata ex mpya 😂 😂 😂Ndugu wana jf, baby wangu mpya ananipa changamoto sana ila anafanya na tumia akili kubwa sana,
Sihitaji hasira wala kuchukia chukia japo wakati mwingine akiwa anakonyeza konyeza najikuta moyo unawaka kama umewekewa pasi.
Ndugu sasa maomivu ya mapenzi bye bye... Napendwa na ninapendeka.
Karibuni nyote huku kwenye penzi jipya ila usipo kua makini unaweza ukafa kwa msongo wa mawazo na mshtuko wa moyo,
Sifundishi unasoma mwenyewe kitabu , unaingia youtube na kucheza na news pia.
Hapa ni MOVING AVERAGE INA CONTROAL MAHUSIANO YANGU MAPYA karibuni sana.
Najua huyu demu wangu wa sasa ni rahisi kuniua ila nacintroal sana emotion .
Nb. Kama una matatizo ya moyo na presha sikushauri uingie kwenye haya mahusiano
ONYO : USIHONGE HELA YA KULA, ADA AU KODI KWENYE KWA HUYU MPENZI MPYA. KAMA UNAHELA ZA MAWAZO SIKURUHUSU UMTONGOZE View attachment 2812593View attachment 2812594
Ex wangu popote ulipo ulisema mimi ni mwanaume surualiSasa nikale bata na demu wangu pya tutaonana kesho View attachment 2813257View attachment 2813258
Kama umenusurika kufa kwa kisonono,kaswende,covid na ukimwi basi jiandae kufa kwa stress kwa hiyo namna yako ya kutrade. Lot size 10 halafu sl pips 83 halaf tp pips 66,risk management itakufelisha kaka