Nimepata mpenzi mpya, Ex wangu kwa heri

Hii njia Ina miba, nenda polepole mbele Kuna matapeli
Sawa ndiyo maana nimesema sifundishi sitaki lawama nimetoa na nots msome wenyewe , ukishindwa ingia youtube huko utajua au cheza na news . Japo news lazima uangamie

Ukikomaa na moving average asilimia 80 hulali njaa. Ila usiwe na tamaa tuu.
 
Sawa ndiyo maana nimesema sifundishi sitaki lawama nimetoa na nots msome wenyewe , ukishindwa ingia youtube huko utajua au cheza na news . Japo news lazima uangamie

Ukikomaa na moving average asilimia 80 hulali njaa. Ila usiwe na tamaa tuu.
Au sio...kwahyo nawewe ni Ontario part 2 sio
 
Ndugu wana jf, baby wangu mpya ananipa changamoto sana ila anafanya na tumia akili kubwa sana,

Sihitaji hasira wala kuchukia chukia japo wakati mwingine akiwa anakonyeza konyeza najikuta moyo unawaka kama umewekewa pasi.

Ndugu sasa maomivu ya mapenzi bye bye... Napendwa na ninapendeka.

Karibuni nyote huku kwenye penzi jipya ila usipo kua makini unaweza ukafa kwa msongo wa mawazo na mshtuko wa moyo,

Sifundishi unasoma mwenyewe kitabu , unaingia youtube na kucheza na news pia.

Hapa ni MOVING AVERAGE INA CONTROAL MAHUSIANO YANGU MAPYA karibuni sana.

Najua huyu demu wangu wa sasa ni rahisi kuniua ila nacintroal sana emotion .

Nb. Kama una matatizo ya moyo na presha sikushauri uingie kwenye haya mahusiano

ONYO : USIHONGE HELA YA KULA, ADA AU KODI KWENYE KWA HUYU MPENZI MPYA. KAMA UNAHELA ZA MAWAZO SIKURUHUSU UMTONGOZE View attachment 2812593View attachment 2812594
umepata ex mpya 😂 😂 😂
wajinga sana wadada
muulize ex wake waliachana vipi
 
EURUSD -SELL , OPEN At 1.06948
TP 1.06930 LOT 15
SL OPEN
 
Sasa nikale bata na demu wangu pya tutaonana kesho View attachment 2813257
Screenshot_20231114-084326~2.jpg
 
Back
Top Bottom