Nimeoteshwa juu ya dawa za mapenzi

Si masihara bali ni ukweli mtupu, nimeoteshwa kutoa tiba ya kuramba kijiko kimoja tu cha mti unaoitwa mgaagaa kwa ajili ya kutibu matatizo yote yanayohusiana na mapenzi yakiwa pamoja na:- kupata ujasiri wa kutongoza, kwenda round nyingi, kuchelewesha round, kuleta hamu ya tendo la nanihino, mvuto, kupata mchumba, kupata mume/mke, kuachwa kwa wanaotaka, kumpa mpenzio limbwata, kuondoa limbwata-yaani kila kitu;( kijiko kimoja nimeambiwa nitoze gharama ya sh. 999 kwa watanzania na sh. 9999 kwa wasio watanzania) lakini huenda bei ikapanda kutegemea na mahitaji. Just ni-PM
Jina lenyewe "Chamajani"
 
sIO MaHALI PAKE HAPA,ILI NI JAMVI LA MMU.utani na uDAKU NI JUkwaa jingne.
 
Why jamani unaambiwa hivo ulimkosea nini?

We acha BB watu wana bifu za kipuuzi halafu hata hawafamiani lakini mimi wote nimeshawasoma nakuwajua tabia zao.
Martyina kapigwa Ban jana nadhani kwa ishu ya kumtusi Mudi Shossi.
 
Si masihara bali ni ukweli mtupu, nimeoteshwa kutoa tiba ya kuramba kijiko kimoja tu cha mti unaoitwa mgaagaa kwa ajili ya kutibu matatizo yote yanayohusiana na mapenzi yakiwa pamoja na:- kupata ujasiri wa kutongoza, kwenda round nyingi, kuchelewesha round, kuleta hamu ya tendo la nanihino, mvuto, kupata mchumba, kupata mume/mke, kuachwa kwa wanaotaka, kumpa mpenzio limbwata, kuondoa limbwata-yaani kila kitu;( kijiko kimoja nimeambiwa nitoze gharama ya sh. 999 kwa watanzania na sh. 9999 kwa wasio watanzania) lakini huenda bei ikapanda kutegemea na mahitaji. Just ni-PM

Mhhhh! Haya dawa ya mapenzi hiyo Wanajamii! Kila la heri Mkuu na dawa yako usisahau pia kuitangaza nchi za nje ukajikusanyia madollar kibao.

YouTube - Jeremih x 50 Cent - "Down On Me" - 3D Version
 
wengine kupm mtihani tuelekeze tuje kupata kikombe hiko tuondoe nuksi za ,mnukanuka:disapointed:
 
Back
Top Bottom