Nimeongea na mnyika kuhusu mtwara.

Sizinga

Platinum Member
Oct 30, 2007
9,101
6,027
JANA MNYIKA ALIKUWA KWENYE KAMPENI ZAKE PALE SHULE YA MSINGI JESHINI-MABIBO,(CUF WAO WALIFANYIA MKUTANO LUANGA-KWA BIT' KAENGA) BAADA YA ULE MKUTANO NILIONANA NAE NA NIKAMUULIZA WANA MPANGO GANI KUHUSU UKANDA WA KUSINI NA NI LINI WATAENDA HUKO.....AKANIJIBU WATAKUWA MTWARA NA LINDI TAREHE 26 NA 27. SO STAY TUNED,WAKAZI WA MTWARA KUWENI NA SUBRA, MPAMBANAJI ANAKUJA!!:nono:
 
He! Hi sasa inakuaje mbona Tukuyu wemetuambia watakuja tarehe 26?afu naambiwa atakuwa mtwara? Mwenye ratiba zaidi anipe basi mi nipo huku.
 
Watu msije mkawa dissapointed. Watu wa Mtwara wangapi wanaingia kwenye mtandano wa JF?
 
Tabora Mjini vipi DR SLAA mbona ameishia Nzega tuu? Au atarudi tena?
 
Back
Top Bottom