Nimeoneshwa maono kuwa babu Seya anaachiwa huru

Sasa kiki zote wanazimaliza, mwakani sijui watakuja na lipi
 
Leo wakati nipo sehemu tulivu sana yakanijia maono na kumuona babu Seya na mwanawe wanaachiwa huru mwaka huu na kufanyiwa sherehe moja ya nguvu na wanamuziki wote wa muziki wa dansi na bongo fleva hapa nchini. Kama maono haya yatakuwa ya kweli basi nahisi itakuwa ni siku maalum sana.

Nasisitiza: Ni MAONO tu!
Hatimae maono yako yametimia. hongera sana kwa kuwa na imani kwani hatimae milima imetembea na vipofu wameona..
 
Back
Top Bottom