Nimeoa lakini napenda wanawake wanaojiuza

Wakuu nashukuru sana kwa maoni yenu na ushauri mlionipa nimejifunza mengi. Nimegundua hili ni tatizo japokuwa wanaume wengi wapo hivi lakini ukweli ni tatizo ndomana hata wanaume wenzangu wameniambia nna tatizo.

Kupitia maoni na ushauri wenu najiona mkosaji na kuanzia sasa naanza hatua za kubadilika japokuwa sitaweza kwa siku moja lakini naamini nitabadilika.

Asanteni nyote
 
Back
Top Bottom