Nimemzimikia Binti wa TV ya CITIZEN- Kenya

Mtoto wa kikikuyu huyo ukichelewa kurudi tu anakupiga mangumi.. Si umesikia kenya wanawake wanapiga wame zao..

Halafu wana confidence hao, si unajua elimu ya kenya sio ya kata kama zetu
Mbona Mkuu MWAKALINGA y. R amesema pale juu kua huyu ni binti wa kimombasa?? Kweli nimetokea kumpenda sana na zile Blue Outfit zake za Jana.
 
Last edited by a moderator:
Haha Lulu is married and has a Child.Julie gichuru is married with four children.

Si Kweli, sijaona Pete yoyote vidoleni mwake.
Halafu inawezekana pia "Penye Miti hapana Wajenzi"
 
mi nikafikiri ni mimi tu nimelala late kwa ajiri yake,,mimi Lips zake tu hadi nikaenda kukojoa maana nilihisi nachafuka
 
Mimi namzimia esther yule anaripoti mombasa kwa sasa. Mwembamba flani hivi. She's all over ma system yaaani.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Acheni hizo vijana, Lulu ni mke wa mtu. Mtaishia kumuona kwenye TV tu. Tamaa mbaya.
 
Aisee huu mdomo utafanya ndoa yangu ivunjike
 

Attachments

  • lulu hassan.jpg
    lulu hassan.jpg
    6.8 KB · Views: 266
Jamani picha!
Isha Sasay wa CNN na kuna mmoja Aljazeera tena asubuhi hii nimemsahau! Yani I get glued kwa news time over I'm watching a blockbuster movie!
 
Wadau,
Nimekua nikifuatilia matokeo ya Uchaguzi wa Kenya kupitia TV Channel ya CITIZEN.

Kuna huyu binti anaitwa Lulu ananikosesha usingizi jamani. Yaani nkimuangalia tu basi mapigo ya moyo yanaenda kasi sana.

Ananifanya hata nashindwa kwenda kulala ili nibaki namuangalia yeye tu.

Yaani kuanzia shape yake mimi hoi, ukija kimo ndo kabisa natetemeka mwili. Upande wa sauti ndio siongei hata kidogo. Atleast ushungi nao ume-add value.

Midomo yake ni ile iliyobinuka Kwa style flani hivi ya Anjelie Jolie halafu kwenye macho yani akuongezea kula kungu basi nahonga kila nlichonacho. Age yake sijajua bado, but hawezi kua zaidi ya 28.

Wadau, huyu binti anautesa sana mtima wangu, naomba mwenye uwezo wa kupata contacts zake anisaidie please my fellow JF members.

ha ha ha ha ukitaka kuongea nae live uwe unazunguka nyuma ya tv utamwona
 
Kumbe tupo wengi kaka me hapa nimeshindwa kwenda kulala nabaki namwangalia tu, mimi huu ushungi tu hoi.

Ananifanya hata nashindwa kwenda kulala ili nibaki namuangalia yeye tu.

Duh! Kumbe tupo wengi!

true. tupo wengi mdau Papa.

Kumbe tuko wengi sana, mimi ananifanya nisiwe na usingizi kabisaaa, ni kama nimekunywa redbull 20. Mimi nimependa kucha zake pamoja na nyusi zake bila ya kusahau nywele pia zinanipagawisha na kunifanya nisiwezekutembea
 
Heeh, wababa kazi mnayo. Mmesonga miugali mikuuuuubwa wenyewe, mnaumilia na picha ya samaki.......
 
Back
Top Bottom