Nimemuona batilda burian

Alihudhuria ili JK amuone na amuonee huruma kama ataweza hata kumpatia japo kanafasi fulani kwenye serikali yake.
 
Wadau ktk taarifa ya habari ya ITV ya usiku huu nimemuona Batilda Buriani akiwa pemben mwa Hawa Gasia katika mkutano wa uwekezaji,najiuliza kahudhuria kama nini?

Hongera sana JF founders kwa kuwa sasa hapa Jamvini kumekuwa na members wengi na threads zimekuwa nyingi zaidi kiasi kwamba ili upate Topic inayojadirika inabidi ufungue si chini ya threads kumi.
 
nilisikia JK alitaka kumpa ukurugenzi mkuu wa TANAPA, watu wakamshauri ni kuchemka kwa wazi kabisa.
 
1.JPG
b2.JPG

She will be back kama mkuu wa mkoa wa Mwanza/Dar es Salaam, uteuzi utafanyika mwezi ujao stay tuned....
 
akipewa udg tanapa atakuwa juu apewe jamani alipita wkt mgumu sana .khah msinishambulie natumia uhuru wangu wa kujieleza teh
 
Back
Top Bottom