Nimemuona batilda burian

Najijua

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
1,039
180
Wadau ktk taarifa ya habari ya ITV ya usiku huu nimemuona Batilda Buriani akiwa pemben mwa Hawa Gasia katika mkutano wa uwekezaji,najiuliza kahudhuria kama nini?
 
..........Sioni la kujadili hapa,kwani kuhudhuria ule mkutano ulipaswa ule na title gani? Kama ni wawekezaji, inawezekana nae ni muwekezaji...
 
Kiingili kilikuwa ni $100 tu, mwanzo ilikuwa ni $200.
 
Wadau ktk taarifa ya habari ya ITV ya usiku huu nimemuona Batilda Buriani akiwa pemben mwa Hawa Gasia katika mkutano wa uwekezaji,najiuliza kahudhuria kama nini?

Mwekezaji and think tanker wetu...who survived the siege on her banker!!!
 
Tufike kipindi wana JF tuchambue mada kisomi,watz wana matatizo mengi tulete changamoto kwa ajili ya nchi yetu,tuwewanamageuzi.Hivi kumuona buriani ni topic?wa tz wanahitaji kusikia hili?nafikiri ungewauliza waandazi wa huo mkutano isitoshe ulitakiwa kujua sifa za kuhudhuria huo mkutano
 
viongozi wetu no no no!nadhani nitumie watawala,hawa watawala we2 wanatumia muda na rasilimali zetu hovyo kiasi cha kwenda na msururu wa mashangingi kutoa msaada wa bajaj oooh,shame b on thm
 
Tufike kipindi wana JF tuchambue mada kisomi,watz wana matatizo mengi tulete changamoto kwa ajili ya nchi yetu,tuwewanamageuzi.Hivi kumuona buriani ni topic?wa tz wanahitaji kusikia hili?nafikiri ungewauliza waandazi wa huo mkutano isitoshe ulitakiwa kujua sifa za kuhudhuria huo mkutano

Mkuu ni kweli. Kujadili kuhudhuria mkutano kwa Burian si jambo la kuleta tija. Hivi mtu akishindwa ubunge ndio anapoteza haki zake zote ikiwemo ya kujumuika na wengine? Naye ni binadamu na anastahili heshima, utu na haki zake zote. Sioni mantiki ya kujiuliza ati amehudhuria kama nani. Mbona kuna watu wengi tu pale na hatujajiuliza wamehudhuria kama akina nani!
 
Wadau ktk taarifa ya habari ya ITV ya usiku huu nimemuona Batilda Buriani akiwa pemben mwa Hawa Gasia katika mkutano wa uwekezaji,najiuliza kahudhuria kama nini?

Kama mke wa.........! Yule bwana mdogo kuleeee! Mh watoto wadogo siku hizi hata hawaogopi mama zao jamani!
 
Wadau ktk taarifa ya habari ya ITV ya usiku huu nimemuona Batilda Buriani akiwa pemben mwa Hawa Gasia katika mkutano wa uwekezaji,najiuliza kahudhuria kama nini?

na huyu Hawa Gasia naye alihudhuria kama nani?

anajua lolote kuhusu mambo ya uwekezaji? au alifuata posho?
 
ha ha ah ah ahaaaaaaa duh nyie watu mnafurahisha sana bana.. hii thread nimecheka mpaka mbavu zinauma
 
Back
Top Bottom