nimemuelewa Ruge 100%

kupe

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
1,035
326
Who is jay dee katika nchii? Ana elimu gani au kipaji gani? Unaweza ukajibu simple kuwa alikuwa mtangazaji wa clouds je utangazaji alibebwa au alikuwa na vyeti? Nani angemjua jey dee bila clouds? Watu watasema ana kipaji .kama una kipaji means una washabiki . Hivi kama una kipaji utaogopa radio isipopiga nyimbo. Kuna radio ngapi tanzania au duniani . Wakikubania clouds peleka nyimbo yako radio zingine ikibidi hata kenya na uganda. Ruge amesema watanzania muache ubinafsi na mkubali kupokezana vijiti . Wewe unataka usikike wewe tu kwani wewe nani kama vipi fungua radio yako piga nyimbo zako usiku kucha. Au rekodi harafu uza si una washabiki. Au nyingi haisikiki hadi ipigwe clouds . Gadna habash bila clouds angeishia huko mwanza na kumbuka alikuwa mlokole.nani angemjua gadna. Nani angeenda nyumbani lounge kama sio kivuli cha clouds. Jay dee anasema alinyonywa . Hivi utapaje mafanikio bure. Kikwete alisema kula na wewe uliwe. Mpaka alisema kama wewe maarufu basi hama ccm. Clouds ilikuwepo , ipo na itaendelea kuwepo . Walikuwepo watu maarufu kama akina kaka bonda ,masudi kipanya na wengineo wengi je wapo wapi sasa.kama wana vipaji mbona kimya. Clouds ni radio binafsi na inaendeshwa kibinafsi ila inafuata sheria . Kama unaona unaonewa kashitaki . Mbona mnapopata faida kupitia clouds hamsemi
 
team jay dee 2nasema hii n pumba, ama mashudu; nan asijejua ruge n snitch kwan ilikuwaje kw sugu c walimzunguka hivihivi hawa jamaa pumbav sana by the way kila kitu kina utawala wake ambao lazma utafika mwisho hata radio one zaman ilikuwa kiboko sa hiv iko wap we are just counting on them
 
Who is jay dee katika nchii? Ana elimu gani au kipaji gani? Unaweza ukajibu simple kuwa alikuwa mtangazaji wa clouds je utangazaji alibebwa au alikuwa na vyeti? Nani angemjua jey dee bila clouds? Watu watasema ana kipaji .kama una kipaji means una washabiki . Hivi kama una kipaji utaogopa radio isipopiga nyimbo. Kuna radio ngapi tanzania au duniani . Wakikubania clouds peleka nyimbo yako radio zingine ikibidi hata kenya na uganda. Ruge amesema watanzania muache ubinafsi na mkubali kupokezana vijiti . Wewe unataka usikike wewe tu kwani wewe nani kama vipi fungua radio yako piga nyimbo zako usiku kucha. Au rekodi harafu uza si una washabiki. Au nyingi haisikiki hadi ipigwe clouds . Gadna habash bila clouds angeishia huko mwanza na kumbuka alikuwa mlokole.nani angemjua gadna. Nani angeenda nyumbani lounge kama sio kivuli cha clouds. Jay dee anasema alinyonywa . Hivi utapaje mafanikio bure. Kikwete alisema kula na wewe uliwe. Mpaka alisema kama wewe maarufu basi hama ccm. Clouds ilikuwepo , ipo na itaendelea kuwepo . Walikuwepo watu maarufu kama akina kaka bonda ,masudi kipanya na wengineo wengi je wapo wapi sasa.kama wana vipaji mbona kimya. Clouds ni radio binafsi na inaendeshwa kibinafsi ila inafuata sheria . Kama unaona unaonewa kashitaki . Mbona mnapopata faida kupitia clouds hamsemi

Sawa lazima mtatumia mbinu pesa na namna yoyote muonekane mu malaika
kitu ambacho ni kizuri tena saana.....naomba kuwauliza...kwanini tu nyie mlalamikiwe???mbona maswali magumu hamjayajibu??????....mnaweza mkashida kwa nguvu ya pesa zenu..kuwajua wakubwa....kupindisha ukweli..nk

ILA tambueni chozi la myonge Mwenyezi Mungu analisikia kuliko.. anaweza asijibu leo wala kesho ila kumbukeni... hayo mnayowafanyia wasanii wa TZ ni dhambi na itawatafuna nyie na vizazi vyenu vyote

kwanini msiuambie umma wa watanganyika wasanii wetu mnawalipa kiasi gani???tuambieni....uhusiano wenu na makampuni kama ya simu, bia nk...

ndio pamoja na mapungufu ya wasanii wetu kwanini wanamuziki wa Uganda wanamikataaaaba binafsi na makampuni ya simu, bia nk.......nyie si ndo mnatumia njia chafu ili wakose hiyo mikataba?... ni ngumu saana msanii wa bongo kupata mkataba kwa kampuni kubwa hapa tz kama hana maelewano na nyie...hilo halihitaji mtu awe amamaliza sekondari ya kata awaelewe

endeleeni ilihali mkijua mtafanya hivyo milele
kila jambo lina mwisho wake
 
Jide kapokelewa 'kijiti' kabla hajaamua kukabidhi ndo kilio chooote unachosikia, Clouds hawataki kupiga nyimbo zako tatizo liko wapi?Anawadanganya watu eti tangu 2003 alikuwa anapigwa Vita na Clouds mbona Mumewe na Meneja wake aliendelea kutangaza Clouds kwa zaid ya Miaka kadhaa wakati akijua mkewe na mwanamuziki wake anaandamwa haingii akilini.Waige Ustaarabu wa Kipanya Masoud unaondoka unaendelea na Ishu zako mambo ya ku snich ya kishamba na kizamani!
 
Ruge hajajibu hoja hata moja ya Lady Jd.. Tutuma za Lady Jd ni Clouds kuwatishia wasanii watakaoshiriki kwenye tamasha lake au watakaotaka kutoa colabo na yeye nyimbo zao hazitapigwa clouds.. Tuhuma nyingine ni kujaribu kuwashawishi wadhamini kutoshiriki kumdhamini yeye na bendi yake.. Na tuhuma nyingine ambazo ni mbaya zaidi ni mpango wa Ruge & Kusaga kumfanyia zengwe ili atimuliwe kwenye ukumbi anaoutumia.. Hizo ndo tuhuma nilizozisoma na kuzielewa toka kwa Lady Jd.. Ruge hajajibu hata moja zaidi ya kutengeneza platform ya yeye & Kusaga kuonekana victim kwenye issue..
Sasa na wewe unakuja kama Ruge.. Duuh.. Saidia basi kujibu tuhuma hizo..
 
U talk non sense,it seems u are among those students who got zero in their exams and waiting for standardization,u better reseat for ur exams and stops writting things u dont understnd...who do u think u are to point your ----ing finger on jaydee?..jide can feed u and all ur clan for years....
 
Ruge hajajibu hoja hata moja ya Lady Jd.. Tutuma za Lady Jd ni Clouds kuwatishia wasanii watakaoshiriki kwenye tamasha lake au watakaotaka kutoa colabo na yeye nyimbo zao hazitapigwa clouds.. Tuhuma nyingine ni kujaribu kuwashawishi wadhamini kutoshiriki kumdhamini yeye na bendi yake.. Na tuhuma nyingine ambazo ni mbaya zaidi ni mpango wa Ruge & Kusaga kumfanyia zengwe ili atimuliwe kwenye ukumbi anaoutumia.. Hizo ndo tuhuma nilizozisoma na kuzielewa toka kwa Lady Jd.. Ruge hajajibu hata moja zaidi ya kutengeneza platform ya yeye & Kusaga kuonekana victim kwenye issue..
Sasa na wewe unakuja kama Ruge.. Duuh.. Saidia basi kujibu tuhuma hizo..

kwa maoni yangu maelezo ya Ruge yamejistosheleza
 
Kweli we kupe....umejinyonya hadi akili yako. Jide hakulalamika kuhusu clouds kutopiga nyimbo zake tu, bali hawa jamaa kutumia pesa zao na nguvu zao za ushawishi kubana mirija yote ya mafanikio kwa Jide, Ruge ni mtu hatari sana, usitumie nguvu zako tena siku nyingine kuja kumwaga ushuzi wako humu ndani.
 
kama jide anapita humu anijibu swali langu dogo tu,kwani ni lazima nyimbo zako zipigwe clouds ili uishi?kama wewe ni msanii mkali mashabiki watazipenda tu kazi zako na kuzinunua/kuzifuata hata kama zinapigwa baa ya mnazi so kwa nini chuki hiyo?don't tell me ruge anacontro soko la muziki tz na anaamrisha tu huko mtaani wadosi wafanye nini!!!kama ni hivyo basi inatakiwa afungwe jela coz anaiendesha nchi kinyemela!!!!
 
maelezo yake pumba tupu. ameanzisha band ili amkomoe komando ?

sidhani kama naweza tumia nguvu yote hiyo kwa ajili ya kumkomoa jide, ana band yake ya tht inaitwa adama nafikiri nguvu anaweka kule zaidi, kuendesha band sio kitu kidogo kaka na yeye kasema band ni ya sebastian ndege
 
Wanaomtetea Ruge wamezaliwa miaka ya 2000's na kuendelea, Jide alikuwepo kabla ya hata ya hiyo redio ya wafu, ameimba na kina marehemu Zomba (D-Rob), Fanani wa Hardblasters, Afro Reign kipindi hicho Radio One pekee ndo ilikua inabamba chini ya madj wa ukweli Rankeem Ramdhani, Mike Mhagama na kadhalika.
So kuhusu Jide kujulikana kimusic redio ya wafu imemkuta na ikatumia truck zke ili kupendesha redio yao.
Ruge ajibu hoja za msingi za Jide na sio kutumia redio kuongea uongo kwa jamii.
Sugu, Mapacha, Rama Dee, Mkoloni, Solo Thang, Afande Sele, 20 Percent, hawa wote wanamsingizia?

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
haya ni yako kupe au ndo majibu ya ruge.
KAMA haya ndio majibu (mepesi) ya ruge kwa tuhuma alizo zitoa jide, basi nazidi kupungukiwa sababu za kutomwamini lady jaydee kwa yale anayo yasema.
#duniatunapita
 
Last edited by a moderator:
Who is jay dee katika nchii? Ana elimu gani au kipaji gani? Unaweza ukajibu simple kuwa alikuwa mtangazaji wa clouds je utangazaji alibebwa au alikuwa na vyeti? Nani angemjua jey dee bila clouds? Watu watasema ana kipaji .kama una kipaji means una washabiki . Hivi kama una kipaji utaogopa radio isipopiga nyimbo. Kuna radio ngapi tanzania au duniani . Wakikubania clouds peleka nyimbo yako radio zingine ikibidi hata kenya na uganda. Ruge amesema watanzania muache ubinafsi na mkubali kupokezana vijiti . Wewe unataka usikike wewe tu kwani wewe nani kama vipi fungua radio yako piga nyimbo zako usiku kucha. Au rekodi harafu uza si una washabiki. Au nyingi haisikiki hadi ipigwe clouds . Gadna habash bila clouds angeishia huko mwanza na kumbuka alikuwa mlokole.nani angemjua gadna. Nani angeenda nyumbani lounge kama sio kivuli cha clouds. Jay dee anasema alinyonywa . Hivi utapaje mafanikio bure. Kikwete alisema kula na wewe uliwe. Mpaka alisema kama wewe maarufu basi hama ccm. Clouds ilikuwepo , ipo na itaendelea kuwepo . Walikuwepo watu maarufu kama akina kaka bonda ,masudi kipanya na wengineo wengi je wapo wapi sasa.kama wana vipaji mbona kimya. Clouds ni radio binafsi na inaendeshwa kibinafsi ila inafuata sheria . Kama unaona unaonewa kashitaki . Mbona mnapopata faida kupitia clouds hamsemi

nime 'like'
 
Ruge hajajibu hoja hata moja ya Lady Jd.. Tutuma za Lady Jd ni Clouds kuwatishia wasanii watakaoshiriki kwenye tamasha lake au watakaotaka kutoa colabo na yeye nyimbo zao hazitapigwa clouds.. Tuhuma nyingine ni kujaribu kuwashawishi wadhamini kutoshiriki kumdhamini yeye na bendi yake.. Na tuhuma nyingine ambazo ni mbaya zaidi ni mpango wa Ruge & Kusaga kumfanyia zengwe ili atimuliwe kwenye ukumbi anaoutumia.. Hizo ndo tuhuma nilizozisoma na kuzielewa toka kwa Lady Jd.. Ruge hajajibu hata moja zaidi ya kutengeneza platform ya yeye & Kusaga kuonekana victim kwenye issue..
Sasa na wewe unakuja kama Ruge.. Duuh.. Saidia basi kujibu tuhuma hizo..

Hivi mbona wa tz tunapenda kuishi kwa tuhuma . Kwann umtuhumu mtu. Weka ushahidi ili mtu akujibu kwa ushahidi . Baadala yake mtu aki fail maisha anaanza kutuhumu watu. Hivi kila mtu akitaka ajibu anachotuhumiwa itakuwaje? Hivi utafukuzwa vipi kwenye ukumbi ambao una mkataba nao ? Mimi hainiingii akilini? Music ni biashara. Harafu hivi mwanamusic kama mwanamusic anashawishiwaje asiimbe na furani na akakubali ukiona hivyo ujue hiyo hailipi.
 
Back
Top Bottom