Hivi ile huruma na ubinadamu wa JK uliishiaga wapi?haoni hata mateso ya mawazo ya huyu mama?kweli??wameshindwa hata kwenda kumpa pole tu?hata mkuu wa mkoa tu kwenda kumpa pole na kumsaidia kuhusu hao watoto??kweli pesa kitu kibaya sana!!JK amebadilika hivi?au yeye ndie alietoa order ya kuua kila mkutano wa CDM???
Ni muhimu sana Ndugu Mjengwa uisaidie hiyo familia kutafuta wakili wa kuwasaidia kufungua kesi ya madai dhidi ya Polisi na Serikali ya Tanzania. They should sue the state (whose agents the Police are,) for at least two billion shillings.
Sidhani watoto wao wataweza kufanya mitihani mwaka huu. Let us be realistic. Itabidi waombewe kuahirisha kwa mwaka mmoja, na wapewe counselling tu kwa sasa.
Mkuu Augustine Moshi,
Nakubaliana na wewe kabisa kuwa watoto si rahisi kufanya mtihani wakiwa katika hali ya kawaida kiakili hasa ukitilia maanani mazingira ya kifo cha baba yao. Binafsi nafikiri lingekuwa wazo la busara kama michango iliyopatikana, ingetumika kiasi katika kulipa gharama kwa ama familia au watoto kupata ushauri nasaha wa kitaalamu.
Hata wazo la kutafuta wakili wa kuisaidia familia kutafuta haki yao mahakama ni wazo zuri sana, LAKINI sidhani kama kupita kwa Majjid Mjengwa linaweza kufanikiwa. Ni wazo linalotaka mtu wenye uthubuthu wa kuwaambia ukweli watawala, anayeamini kwenye haki za msingi za binadamu na ambaye ameguswa na unyama wa Polisi. Sizioni sifa hizo kwa Majjid.
nimemuona leo kwenye gazeti la nipashe Dr. Asha Migiro akicheza ngoma nikashangaa sana aliyekuwa naibu katibu wa UN
ni cheo kikubwa sana Leo hii haki za binadamu zinavunjwa hata kutoa tamko hakuna jamani angalau hata kulaani hakuna.
utetezi wa haki za binadamu unaishia Newyork tu. ukitoka kuja Tanzania unakaa kimya kuhusu haki za binadamu wakati
raia wakiuawa bila hatia. waandishi jaribuni kutusaidia kupata maoni yake tukione hicho kigugumizi chake cha kukataa
kumuhudhi jk

tuanze na kuandika 90 dayz notice kwa artorneys general.
...Mkuu ni kweli kabisa unachosema. Hata wao katika maisha yao kuanzia sasa na huko mbeleni panapo uzima watakuwa na chuki kabisa kila wanapokutana na polisi....kwa kweli kuna haja ya kufungua kesi ya madai dhidi ya hawa polisi...Kila ninapoikumbuka familia hii, machozi yananibubujika, na mara zote huwa najiweka katika nafasi ya watoto hawa na mama yao, kila wanapokutana na polisi, just imagine ni hisia gani wanazopata.Hawa watoto watakuwa na attitude negative sana na mbaya sana kuhusu jeshi la polisi na kwa matatizo yoyote yale watakayokutana nayo, watakuwa wanajisemea mioyoni mwao, "Kama siyo baba yetu kuuawa na Polisi tusingepata matatizo haya". Nina imani hawa watoto kama wangaliweza wangelipiza kisasi siku moja.