Nimemshitukia mke wangu

kalikumutima

Senior Member
Oct 9, 2014
145
45
Jana kuna kiugomvi cha maneno kilitokea baina yangu na wife katika maneno yaliyonishitua ni wife kuniambia mwanaume mzima hata kiwanja mpaka ninunue Mimi!! Iko hivi,ni majuzi kachukua mkopo akanunua kiwanja na akaanza kutoa kipaumbele tuanze ujenzi japo kuna Viwanja vingne viwili ninavyo ili nimeviandka majina ya first born wangu( wa nje ya ndoa) wana mum kauli hiyo imenifikirisha kuwa huenda hata tukijenga hiyo nyumba ipo siku ntapewa maneno ya manyanyaso kwan inaonekana kama ni individual asset not family kama nilivyochukulia.ushauri je wewe kauli hiyo unaichukuliaje?
 
Sisi ni wana MMU sio mum! Sikushauri ujenge kwenye hicho kiwanja siku moja utakuja kufukuzwa kama mwizi, jenga kwenye kiwanja cha familia, I mean nunua kiwanja jina andika mr n Mrs au kama mna watoto andika jina la mtoto then ujenge hapo, BTW hicho kiwanja cha mtoto wako wa ujanani utakijenga lini?
 
hiko kiwanja tu, yani usijenge ndugu, nunua cha famiia mwachie uwanja wake uwe open space madogo wapige mpira.
 
Kama unataka uishi kwa manyanyaso jenga nyumba kwenye kiwanja alicho nunua mwanamke. Binafsi nina principal project zangu nazipeleka mwenyewe. Yeye akileta vihela vyake na mshauri afanyie vitu vingine.

Niliona jinsi ndugu yangu mmoja alivyonyanyasika baada ya kuwa amejenga kwenye kiwanja cha mwanamke.

Aliambiwa ondoa nyumba yako, niachie kiwanja changu. Mimi kila mtu adevelop properties zake mwenyewe. Watoto wetu watashare baadae.
 
Mkuu achana na hiyo kiwanja kabisa maana itakuwa ni fimbo atakayoitumia shemeji yetu kukunyanyasa maisha yako yote.....!
 
Kuwa muwazi na strict, mpe za uso kwamba kwa sasa kipaumbele ni kujenga nyumba ya familia, na jina liandikwe Bw na Bi.... au andikeni jina la mtoto (siyo wa nje ya ndoa), mnaweza kuchagua kimoja kati ya hivyo ulivyonavyo mkabadili jina. Lakini hata hivyo naona utakuna na kikwazo cha ushirikiano, hiyo nyumba utajenga mwenyewe tu na mwenzako atakuwa anajenga yake pembeni. Huyo mwanamke anatokea pande zipi.....sorry, nje ya mada!
 
tafuta kiwanja kingine........hicho mwachie....mana ndiyo utakuwa wimbo wa taifa........
 
Wewe ni mbinafsi usishangae hiyo kauli. Unaacha kumuamini mkeo unaenda andikisha mtoto wa nje. Bado hujajua maana ya ndoa. Jinga sana wewee.
 
Kweli tumetofautiana kwa nin niishi maisha ya mashaka hasa kwenye mambo yanayowezekana.....Kama ni mimi najenga kabisa hapo bila kujali itakavyokuwa uko mbelen na hata ikifikia mahal ikiwa mbaya nitamwachia nyumba na kila kitu ndan nitondoka na begi langu la nguo tu maadam tuna (m)watoto nae. Watu wanazawadia ma-girlfriend nymba na magar sembuse nilie unganisha nae damu bana...Na sintajal matumiz ya hizo mali tukishaachana auze, abomoe atajua yeye...
Ntaanza upya tena, Ila huna uhakika wa kupata pesa tena utang'ang'ana.
 
Jana kuna kiugomvi cha maneno kilitokea baina yangu na wife katika maneno yaliyonishitua ni wife kuniambia mwanaume mzima hata kiwanja mpaka ninunue Mimi!! Iko hivi,ni majuzi kachukua mkopo akanunua kiwanja na akaanza kutoa kipaumbele tuanze ujenzi japo kuna Viwanja vingne viwili ninavyo ili nimeviandka majina ya first born wangu( wa nje ya ndoa) wana mum kauli hiyo imenifikirisha kuwa huenda hata tukijenga hiyo nyumba ipo siku ntapewa maneno ya manyanyaso kwan inaonekana kama ni individual asset not family kama nilivyochukulia.ushauri je wewe kauli hiyo unaichukuliaje?

Ushauri: Kapige Punyeto!

Kama unataka uishi kwa manyanyaso jenga nyumba kwenye kiwanja alicho nunua mwanamke. Binafsi nina principal project zangu nazipeleka mwenyewe. Yeye akileta vihela vyake na mshauri afanyie vitu vingine.

Niliona jinsi ndugu yangu mmoja alivyonyanyasika baada ya kuwa amejenga kwenye kiwanja cha mwanamke.

Aliambiwa ondoa nyumba yako, niachie kiwanja changu. Mimi kila mtu adevelop properties zake mwenyewe. Watoto wetu watashare baadae.

Maelezo yako yanaonyesha wewe ni mbinafsi!
 
Tafuta kiwaja tofaut ndo ujenge kipe jina la xyz family ili hata yule mtoto awemo
 
Back
Top Bottom