nimemmiss sana

Mie nilikuwa nimekumiss wewe but vile ushajitokeza hapa roho yangu burudani kama nimemeza bonge la barafu... Tehe.

Usijali barafu wa moyo kipepeo cha nafsi, nimefurahi kukuona new year ikiwa bado changa!! Leo hakuna kulog off kama washawasha!!
 
Usijali barafu wa moyo kipepeo cha nafsi, nimefurahi kukuona new year ikiwa bado changa!! Leo hakuna kulog off kama washawasha!!
Lol... Asante sana kipipi... Itabidi nikupitie badae tupange mikakati ya kwenda kumtafuta washawasha manake sio bure asee, mara ya mwisho ilikuwa amrudishe wife kwao...
 
Ndugu yangu nakushukuru sana kwa kuonesha kujali kwako,ni kweli nilipotea ghafla kutokana na mishemishe ya mwisho wa mwaka ila namshukuru Muumba kayafanya yote yakawa rahisi,meseji zako zote nimezipata na nimeshakujibu,kweli Jf ni zaidi ya uijuavyo,nitalitekeleza ombi lako ndugu yangu.Nalog off
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom