Nimemmiss sana Dena Amsi!

Hmaster

JF-Expert Member
Dec 27, 2010
346
86
Juma moja lililopita nilijieleza wazi kwamba nampenda sana mdada huyu na kumwomba namba yake ya simu. Kutokana na hilo nilidiliki hata kumwomwomba Rose1980 na Afrodenz wanipigie debe. Rose1980 alinishauri nifanye kitu fulani, nikafanya na atathibitisha yy mwenyewe. Cha ajabu ni kwamba sijaona tena post wala reply ya DA. Bado nampenda na naendelea kumpa nafasi. Kama ana mkataba na mtu basi!
 
Jaribu kumcheck kwa PM
 
mmh wewe AVATAR ndo umebadirisha ivo?
ahh dada DA wala hatapenda ..sasa avatar gan io?
umeshka key juu juu thats means ...we mda wote unapenda kufungua MILANGO...
weka funguo chn then ntaenda kumwambia dada....
 
Nadhani ingekuwa vema kama mngekuwa mnajaribu kuongea kwa PM kabla ya kuja hapa upenuni.
Tusichukiane, ni mawazo tu.
 
Juma moja lililopita nilijieleza wazi kwamba nampenda sana mdada huyu na kumwomba namba yake ya simu. Kutokana na hilo nilidiliki hata kumwomwomba Rose1980 na Afrodenz wanipigie debe. Rose1980 alinishauri nifanye kitu fulani, nikafanya na atathibitisha yy mwenyewe. Cha ajabu ni kwamba sijaona tena post wala reply ya DA. Bado nampenda na naendelea kumpa nafasi. Kama ana mkataba na mtu basi!
Sasa kama unampenda ndio lazima ulazimishe nae akupende,...mtu umeeleza hisia zako kama unampenda nae pia ana haki ya kupenda au kutompenda mtu yeyote hata kama huyo mtu anampenda kama ww,.....take it easy acha kulalama
 
mmmh,mengine ungebania kaka.haina haja ya kumwaga yote humu.mfano,nimemwambia huyu,nimemwambia yule.haihuuuuuu.
 
Juma moja lililopita nilijieleza wazi kwamba nampenda sana mdada huyu na kumwomba namba yake ya simu. Kutokana na hilo nilidiliki hata kumwomwomba Rose1980 na Afrodenz wanipigie debe. Rose1980 alinishauri nifanye kitu fulani, nikafanya na atathibitisha yy mwenyewe. Cha ajabu ni kwamba sijaona tena post wala reply ya DA. Bado nampenda na naendelea kumpa nafasi. Kama ana mkataba na mtu basi!

Anao MKATABA na mtu - Okay? Tunaweza kuendelea sasa kujadili MUSWADA wa "KATIBA MPYA"? Au next the CCM Secretary Gen.?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom