Nimemla Bata Kumbe Side Kick......

Uwii hii x-mass ni yangu
asante sana Deodat..
hata mie natamani nikutan e nawe ...
I love u lots too

Thank you! yaani hako kapicha, umbo la kopa lililotengenezwa kwa snow ndio imenimaliza kabisa uuwii, ingawa hapa nilipo snow imekuwa nyingi mpaka inakera lakini hiyo uliyoniwekea hapo aaah, I love it as much as I love you, anyway.....u never know,,, tunaweza kuonana siku moja.

Hofu yangu tunaokupenda ni wengi, tusije tukapigana online bure!!!!! au ndio ule msemo nyama inaliwa na mwenye kisu kikali? teh teh teh!
 
hivi leo tarehe 23/12/2010 bado siku ngapi ifike krismasi? Nachelea kuchangia hapa nisije haribu mpango wangu wa kushiriki sakramenti tarehe 25/12/2010


Ni bata tu ndugu yangu, nitamla tena Xmass tena huyu atakuwa wa kuokaaaaaaaaaaaaaaaa
 
afrodenzi can we be friends? Plz, plz an pleese! Ni pm with your contacts then i'l e mail n call you'. Porfavor.

hahahahh lol mmhhh haya ..
nenda kwenye profile yangu utakuta email yangu lol
duuhh hizo please ni ngingi kidogo lol
lakini kinaeleweka ni x-mass hahahahah lol
take care
 
mmmmhhh Wameiba Kura utanipeleka kubaya ndugu yangu
mmmhhh hiyo tower hapo nyuma ya post card ..
halafu wapendanao mbele wakisalimiana kwa lugha takatifu mmmhhhhh
unanitamanisha ..
hahhahahahhha lol
nway ni X-mass ngoja ni tulie lol:party:

leo ndio nimejua ww na preta ni wairaq, mm pia, saita ama? ka dima siuriye, ana diri CA, USA, ako mungu inzunki
 

Attachments

  • Love_Flower.gif
    Love_Flower.gif
    8.8 KB · Views: 42
mmmhhh Mokoyo asante sana mkuu..
lakini ulikuwa wapi wakati babu DC alinifanyia surprise party ..
Na pombe za kikwetu zilikuwepo
mmmhhh zilikuwa bure tena ..lol..:whoo:

mie nataka 10 hahahah lol


Afrodenzi kama nikikualika kwa bata utakuja weye? maana itabidi tumwangushe bata MZINGA
 
Mambo hayo! Tangaza ndoa wabongo wanapenda sana kusikia hilo


Mchungaji, nitafurahi sana ukifungisha ndoa yetu, hata ukiwa tungi chakari haina kwere, the bible says, we dont need to give a damn shit to what the servants of God do but what they preach to us, so, Rev. Masa....move on, I will soon set an appointment!
 
thanx afrodenzi, mery x mas n hapy new year. Goodbye dear. Hasta la vista la luna mia.
 
hahahahh lol mmhhh haya ..
nenda kwenye profile yangu utakuta email yangu lol
duuhh hizo please ni ngingi kidogo lol
lakini kinaeleweka ni x-mass hahahahah lol
take care

Jihadhari na matapeli.....mie simo....simo ....simo! am just saying, teh teh teh! and its nothing personal or jelousy for that matter!
 
afrodenzi. Te quero mas que nada(i love u than any thing) tu eres muy cariñosa y maraviyosa(you are very honey and switest) natamani ningekua tz nikutafute you look like my x chotara wa ki brazil and cape verde, she waz my first lover tulipokua chuo kikuu havana. An now she maried with the son of the brazilian ambasador in washington. Inauma et eeh. Boy friend wako ana bahati sana kua nawe, nahisi we charmin sana you love to be hapy most of the time. Cuidate mi amor.
Alaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa umenyanganywa kaka tena? Karibu tule bata huyo hana ubaguzi ndugu....
 
hahahahahahha lol Rev tunakusubiri wewe....
mpaka hiyo hang over iishe halafu utufungishe .....
tunajaribu kukupa tonic water lakini ulicho kunywa mmmhhhhh
ni hatari hata hii power red haiingii hahhaha lol


Akila bata tu kwa kumpakata tena yule asiefugika lazima hang over ideverty....Rev Masanile njoo tule bata baba
 
oooohh BRUCE, those are the most sweet words ever..
thank u very much..
im so srry to hear abwt ur x..
but i guss thats life .... im sure u will get one same or better than ur x..
nway please dont think about sad staff in ur life this x-mss
and i would love for you to start a new year with Positive altitude...

Smile, Be happy, Love.....
u will never go wrong with those three things..
lots of love
AD:hug:

Umesahau kumwambia ale BATA halafu wewe Afrodenzi bwana.....Himiza watu kula bata...
 
mmmmhhh Wameiba Kura utanipeleka kubaya ndugu yangu
mmmhhh hiyo tower hapo nyuma ya post card ..
halafu wapendanao mbele wakisalimiana kwa lugha takatifu mmmhhhhh
unanitamanisha ..
hahhahahahhha lol
nway ni X-mass ngoja ni tulie lol:party:

Mwaya njoo kwetu mitaa ya Posta kwenye lile ASKALI na bunduki tumwage sera kama vipi...
 
Thank you! yaani hako kapicha, umbo la kopa lililotengenezwa kwa snow ndio imenimaliza kabisa uuwii, ingawa hapa nilipo snow imekuwa nyingi mpaka inakera lakini hiyo uliyoniwekea hapo aaah, I love it as much as I love you, anyway.....u never know,,, tunaweza kuonana siku moja.

Hofu yangu tunaokupenda ni wengi, tusije tukapigana online bure!!!!! au ndio ule msemo nyama inaliwa na mwenye kisu kikali? teh teh teh!


Chakachua penzi mkuu kitu lazima kilipe au sio?Hata mie nampenda ila mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmm naogopa KIBUTI
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom