Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,286
- 4,493
Halafu Rev siku moja nimekuona ukiwa na bonge la CHUPA nadhani ndani kulikuwa na CHOZI la simba mkuu...
Habari kama hizi unaniPM mkuu! watasoma wanakondoo wananikimbia hata sadaka itakuwa ni issue. Nafungisha ndoa wanaume 2 mwanamke mmoja inakubalika hiyo