Nimemfumania mke wa rafiki yangu na ameniingizia zaidi ya 1,200,000/= kwa njia ya M-PESA

Katika hali nisioitegemea tumegongana ana kwa ana guest mi na shemeji yangu wa karibu ambae mme wake tunafanya kazi pamoja.

Mimi nikiwa nampeleka mgeni wangu kwenye chumba alichofikia mara ghafla chumba chumba cha pili mlango ulifunguliwa na kikatokea kichwa tu kugeuka tukagongana ana kwa ana huyo shemeji yangu ilichukua takriban sekunde 30 kukodoleana macho na baada kutoa salam sauti ya chini mimi niliingia chumba cha mgeni wangu kumuaga na kumtakia safari njema .

wakati natoka huku mwili ukiwa umekufa ganzi kwa kutoamini nilichokiona kwa shemeji yangu na kutambua alienipokea zamu ya lindo saa 12 jioni mke wake ana madudu niliishiwa nguvu kabisa, alikuja mhudumu wa ile guest akaniitia chemba baadae akaja jamaa ambae sikuweza kumtambua kutokana na mazingira na kunieleza kilichotokea muda mfupi uliopita anaomba iwe niifanye kuwa siri kwanza ametokanae mbali isitoshe ni mzazi mwenzie.

Na akanikabidhi elfu 70 ambayo mi nilikataa kuipokea huku nikimwambia kwasasa nahitaji kuwahi nyumbani mambo mengine tutawasiliana kwa simu ili kukwepa ushaidi niliondoka lakini hatua chache baadae ilipigwa sim kuingalia ilikuwa ya shemeji yangu akinisihi lile suala anaomba liwe siri kwa gharama yoyote ile na nimpe muda mfupi mtu wake anafanya michakato ya hela soon nitapata kwa njia ya M-pesa.

Kubwa kwangu jamaa tumetokanae mbali sana urafiki kwetu ni zaidi ya ndugu tumesoma shule ya msingi moja tumeachana sec. tumeingia depo pamoja na kupangiwa kituo kimoja yaani kama bahati tu hofu yangu ni kwamba asikie hii isue najua alaf sikumpa taarifa atanionaje mimi?

Mpaka sasa natambua kwamba ameoa na ana watoto wawili huyu jamaa ameniambia kwamba ni mzazi mwenzie nashindwa kuelewa na proces zote za uchumba mi nilihusika na sikuambia kama amezaa, katika nyakati tofauti nimeingiziwa kwa mpesa zaidi mil. 1.2 kwa saa 17
nifanyeje?


Hela ningechukua na mzigo ningemuomba vilevile.
 
chukua hela piga kimyaa maana hata ukimuambia rafiki yako hujamsaidia kitu zaidi ya kumpa maumivu na stress zisizo na maana cha kufanya deal na huyo shemeji yako mchambe mpaka ajione choo kwa anayo mfanyia rafiki yako ni hayo tuu over ila hela usirudishe kamwe
 
Mkuu nilichojifunza hapa kwenye huu uzi ni UNAFIKI uliopituka wa binadamu!Dhambi ya usaliti si ya kuipotezea kirahisi hivyo!Hapo ni kumwambia jamaa live na hela hamna kurudisha!Kwani hongo aliomba hiyo!Huyo mwanamke ni zaidi ya MUUAJI!Atashindwa vipi siku moja kumpa sumu mumewe ili atanue kwa uhuru na jamaa?THINK TWICE!

Watu wanafiki sana mkuu
 
Yaani mwanamke mwenyewe kaolewa na jamaa mlinzi wa usiku alafu aogope kuachwa .angali yuko na mwanaume anayeweza honga zaidi ya m kwa siku? alafu cha kushangaza zaidi huyo mwanamke wala hana mapenzi kwa huyo mumewe mlinzi.

sasa si bora aachane naye huyo uyo anayeweza honga zaidi ya m kwa siku ampangie chumba cha cha elfu 30, ambapo kwa mwaka ni laki 3 na nusu tu ili awe akimfaidi muda wote anaotaka.

Huyo jamaa mwenye uwezo wa kuhonga zaidi ya m kwa siku anamuogopa mlinzi wa usiku anayelipwa maximum laki 2 kwa mwezi? angali huyo mwanamke anaweza tafuta kasababu tu kadogo labda kutokupika au kuzidisha chumvi alafu huyo mumewe akimgombeza abebe nguo zake aondoke aende kwa huyo ampendae.

HII STORI NI YA KUPIKWA.

hayo ni mahesabu yako hakuna sehemu yoyote kwenye thread inayosema huyo mwanamke ameongwa zaidi ya m. pitia vizuri usikulupuke
 
Yakupasa kujua moja ya sababu zinazotusaidia kuishi kwa amani mioyoni mwetu ni kunyimwa uwezo wa kujua kila kinachotokea mbali na upeo wa macho yetu....so kwa kuona hilo usidhani umeona kila kitu, kuna meeeeengi hujaona au kujua, kwa mfano nawe hujui kama mkeo naye ana jamaa lake au la n.k

Nimewahi kukutana na situationa kama hiyo, wife wa rafiki yangu alitokea geti la gesti (tena uswazi ndani ndani kweli) huku limjamaa lake limetangulia mbele kwa mbali, ingawa haikuhitaji digrii kujua wako pamoja....alafu gari ya jamaa aliiacha mtaa wa nane kutoka ilipo gesti....wakati shem anatoka, hamadi nilikuwa maeneo jirani.... aliponiona alishtuka nusu afe....baadae akanitafuta, nikaenda kumuona......anambwelambweeeela...

Niliishia tu kumuuliza mmetumia condom ? akanijibu, huku akiwa na aibu kibao...tumetumia....nikamkazia.....unasema ukweli....akasema....hakyamungu nenda hata kamuulize muhudumu wa pale kama hajakuta condom.

Hata sikujisumbua kumwambia eti usirudie tena, sanasana watachenji venue.
 
mmmh hapo kwenye swala la kuacha pesa pagumu kidogo...anyway as wadau walivyosema akili za kuambiwa changanya na zako, angalia effects za kusema na kutokusema then uone wapi kuzito then goo...
 
Umetuambia ulimpeleka mgeni wako! Ebu tuambie kwanza kama wewe umeoa au la! Na mkeo alijua kwamba muda huo unampeleka mgeni wako guest?,Je wakati wewe na mgeni wako mupo hapo guest house unauthibitisho gani ili tuamini mkeo (kama unae)alikuwepo nyumba kwako kama na yeye hakumpeleka mgeni wake kwenye guest house ya mtaa wa pili?.ACHANA NA YA WATU FANYA YAKO MKUU.Daaah! ila hiyo ya kurudisha pesa ni ajenda nyingine.
 
Rudisha pesa za watu na uwaahidi kutosema chochote. La sivyo watakufuata kwa bodaboda. Do you understand?
waliopita nimewaelewa hata wewe unarudia kule wenzako walikopita nilifikiri naweza kupata mawazo mbadala toka kwa waliotangulia na ni mule mule
kama nilivyosema hapo hawari huyu ni mtu wangu wa karibu kipindi cha cha katika nyakati tofauti yeye na mkewe walipopatwa na matatizo walikuja kwangu hata na mimi pia upata ushauri toka kwao nipatapo na matatizo, uzoefu tniliopata toaka ni kwamba kuna siku mumewe ambae ni rafiki yangu alinialika chakula cha usiku akinidokeza kwamba ana tatizo na shemeji yangu hivyo tukae sote pamoja tulijadili nikakubali wito- .....hotel tukaagiza chakula tukala huku wao wakiwa wamefura kwa hasira ( hawaelewani/wamenuniana) baada ya chakula tukaagiga mvinyo wa serengeti mi castle (1 around per triple) nikashangashaa round ya pili watu wamesogeleana na wanaongelea habari zao za kimaisha nikashtuka kidogo lakini sikujari kwani wao ndio walioniita lakini round ya tatu (huku nikijipanga tuanze mazungumzo) nikastaajabu wao wameanza kunong"onezana ili hali tumekuja pamoja, nilichofanya niliwaaga na kusepa kimya kimya bila kuwaaga. na kesho yake michakato ya kimaisha iliendelea bila kuulizana.
my take : waliopita wameongea mengi sana kuhusu la fedha, malazi (magonjwa) ukweli kwa mtu wako wa karibu, udhaifu kwa wapendanao (nisijiiusishe kwa wapendao) nk, lakini moyo wangu waniiuma sana na wala si kawaida yangu kuingilia mahusiano ya mtu kwani walipokutana mi sikuwepo vile vile kuona rafiki, mfanyakazi mwenzangu, classmate na hata kama mtu baki kuangamia ........
 
Umetuambia ulimpeleka mgeni wako! Ebu tuambie kwanza kama wewe umeoa au la! Na mkeo alijua kwamba muda huo unampeleka mgeni wako guest?,Je wakati wewe na mgeni wako mupo hapo guest house unauthibitisho gani ili tuamini mkeo (kama unae)alikuwepo nyumba kwako kama na yeye hakumpeleka mgeni wake kwenye guest house ya mtaa wa pili?.ACHANA NA YA WATU FANYA YAKO MKUU.Daaah! ila hiyo ya kurudisha pesa ni ajenda
nyingine.
mashaka yako ni yapi? bwana mdogo usitake niamini kwamba wewe ni bwana mdogo wakati mawazo yanko ni mazuri!
 
Mwambie afande mwenzako apige kazi ya maaaana unaona sasa mpaka mke anaenda kigawa kipoch manyoya nje


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Mwambie afande mwenzako apige kazi ya maaaana unaona sasa mpaka mke anaenda kigawa kipoch manyoya nje


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
siwezi kuliingilia hilo sababu liko nje ya uwezo wangu
ila inawezekana houseboy akatembea na mke wa bosi wake while hosegirl akatembea ......wake
 
Back
Top Bottom