Nimemfuma msichana wangu na mwalimu wa chuo

Kati ya mambo ambayo huwa nashangaa ni kuona wanaume wanagombania msichana au kinyume chake...
 
Nipo na huyu msichana wangu kwa miaka mitatu sasa tukiwa na maisha ya furaha na amani sana. Lakini hafla namuona ameanza kubadilika kitabia na maneno ya kiuongo uongo kila siku zikenda. Mimi na yeye hatufichani mambo yetu simu, email fungua za mjengo wangu pia anazo ila yeye anakaa kwao bado.

Kuona mabadiliko yamekuwa mengi ndio nikaanza kujiuliza kulikoni kwa huyu mwenzangu mpaka amebadilika hivi? Manake hata simu yake sikuhizi hataki iguswe. Na ikitokezea kuiguza huruka kama paka vile, nikaona acha niongee na shoga yake wa karibu. Huyu shoga yake ndio akanipa filamu yote kuwa kuna huyu mwalimu wa chuo anamsumbua sana kwa muda mrefu na amefikia kumpa kazi ngumu na kujaribu kumfelisha baadhi ya matokeo.

Huyu mwalimu amemuanza kumtaka zamani sana tu na alikuwa na msimamo wa kumkataa sasa kuona anacheza na kumharibia kwenye masomo yake. Ameanza kulegeza kamba juzi tulipanga weekend hii kutoka kwenda samaki samaki na movie alikubali jana amenitumia sms amesema hatoweza kuja.

Sijataka kumuuliza kwanini kwasababu hii sio kawaida yake ndio nikamtext best wake akaniambia kuwa amepanga na mwalimu wa chuo watoke na akanitajia wanapokwenda. Kwa kweli iliniuma sana kusikia vile lakini nikasema acha nihakikishe kama kweli, nikawapigia washkaji zangu simu na mjomba wangu huyu anakaa mitaa ya Temeke.

Kufika siku ya jana ndio tukaanza safari mimi, mjomba wangu na rafiki zangu watatu sote tukiwa 5 tukafika beach flani. Tukashuka na kuanza kumuangaza huku na huko baada ya kama dakika 15 tukamuona amekaa pembeni yeye na huyu mwalimu wa chuo, wao hawajatuona wamekaa wakiongea.

Rafiki yangu mmoja akasema twendeni palepale walipo na kumuuliza msichana wangu anafanya nini pale? Mjomba wangu akasema hapana tuzungukeni halafu tupite mbele yake na tuwasalimie tu.

Tukafanya kama alivyosema huyu mjomba wangu kuwafikia karibu huyu msichana wangu alituona na kunyanyuka na kunifata, Hawa washkaji zangu wakamfata yule mwalimu na kuanza kumshambulia huku mmoja wao akisema lete kilainishi tumgegede huyu ngese si anajifanya kidume yeye.

Tulimuacha yule mwalimu pale beach na majeraha na kuondoka na msichana wangu nikampeleka mpaka kwao. Sasa huyu msichana wangu ndio anafunguka na kunipa mwanzo mpaka mwisho tulipo wakuta kama hajafanya nae kitu. Na shoga wake amesibitisha kuwa kweli hajafanya kitu na huyo mwalimu bado na siku hio ilikuwa ndio mara yao ya mwanzo kutoka.

Demu wangu tokea jana mpaka sasahivi ananitumia sms za kuniomba radhi nimsamehe, lakini mimi nimemjibu text yangu fupi tu. Nakutakia mafanikio mema na maisha mema. Jee kaka zangu na dada zangu wa JF mnanipa ushauri gani juu ya hili jambo?
Msichana wako ndiyo nini? Msichana wa kazi? Rafiki yako wa kawaida, mchimba wako au mpenzi wako? Kama ni mpenzi wako, aisee uwe makini usije ukawa unarekebisha saa isiyokuwa na battery. Nakushauri usimuache ila endelea kuchunguza mwenendo wake huku ukionesha kumwamini ili ajisahau kama anaendelea na mchezo mchafu ukionesha kumwamini utagundua kirahisi. Hata simu uwe unaikagua kwa kustukiza usiishike kila mnapokutana. Swali la kumhoji wakati unatengeneza naye muafaka ni kwanini alikataa msiwe pamoja siku hiyo? Na kama aliweza kukupa wewe dharura hamtaweza kuonana kwanini asimpe udhuru huyo mwalimu?? Hawa ciumbe ni dhaifu ila wakati mwingine wanatumia udhaifu wao kuhalalisha matakwa yao. Mtu unayejiheshimu huwezibkukubali kugegedwa kisa utafelishwa!
 
Kama huo mwali alitaka kungonoka naye na kweli demu wako amekuwa akimkataa afu akaja akamkubalia kwa siku ya kwanza haiwezekani wakaenda kukutania beach. Otherwise alishagegedwa ndo wanaanza kuzoeana. Hataa wewe demu akusumbue muda mrefu kisha mkutanie beach for the first time? Dah! Wanawake mtatuua nyie.
 
uwamuzi mzuri usingegundua alitaka hakuache njia panda.si mkweli atakufelisha maisha
 
Kama umpendi muache, kama unampenda usimuache.
Ukimuacha then akipata mtu mwingine utapata tabu kumrudisha.
 
kumshambuliamwalimuhuyo kumekusaidia nini...huo uboya ...kama ungekuwa unataka kujua msimamo na ukweli ungetulia uone...sa umempiga na bado unasema maishea mema...siungewaacha waendelee......aikili ittumike kuliko ngfujo
 
napendaga ao mashoo wasio waaminifu kwa wenzao mana ndo hua wanatuvujishiaga michongo,,,,uyo mwl akiwa na akil km zangu ndo sasa kapata sababu zakumkaza dem wako
 
kumshambuliamwalimuhuyo kumekusaidia nini...huo uboya ...kama ungekuwa unataka kujua msimamo na ukweli ungetulia uone...sa umempiga na bado unasema maishea mema...siungewaacha waendelee......aikili ittumike kuliko ngfujo
mwenyewe nimeshangaa mkuu? si angemuacha na mpenzi wake watu wengine sijui wapoje
halafu eti na yeye kamuacha binti wa watu
 
mwenyewe nimeshangaa mkuu? si angemuacha na mpenzi wake watu wengine sijui wapoje
halafu eti na yeye kamuacha binti wa watu
Ni upumbavu...wanaume hawako hivi wanaojitambua...ungekaa na binti tujue moja ukimpigania eti unafanyafujo af unanywea....stupid
 
Mahusiano ya mwendo kasi taabu kweli kweli. Hayo madoa ambayo mmeshatiana yana maana yake, hata ufumbe macho vipi Hiyo scenario itaendelea kujirudia kichwani mwako. Swala la msingi ni je bado utamuamini baada ya hili? Maana kuvunjika kwa uaminifu kati yenu kutaleta patashika baadae (hata kama mtakubaliana to forgive and forget), kwa kiwango ambacho kila mmoja atakuwa too sensitive (in a negative sense) na mwenzake. Hata yale mambo ambayo yalikuwa sio ishu mtaanza kuyatafutia na kuyatolea maelezo,, hata kutoka tu huyo binti yaweza kuwa ishu. Afu mtachunguza visivyochunguzika,, na hilo ndilo kaburi lenu.

Sikia na usikie vyema, mwanamke anayejielewa akipata kashkashi ya kutongozwa kwa kipindi kirefu na mtu ambaye hana matamanio nae, mtu wa kwanza aliyetakiwa kujua ni wewe,, tena kutoka kinywani mwake mwenyewe. Hii ni taarifa muhimu ambayo wewe kama future yake ulipaswa kuifahamu, sio mpaka uchunguze na kuambulia nusu fumanizi. Wewe ungemsaidia kulitatua hata kwa mawazo, ila ukimya wake unajenga picha tofauti kabisa.

Mwisho wa siku hilo ni lako, maamuzi yeyote utakayofanya ni sahihi kwako. Ila kumbuka, kosea kujenga nyumba maana utabomoa... Ila usikosee kuoa maana huwezi vunja Hiyo nadhiri
 
Back
Top Bottom