First Born
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 5,310
- 1,473
Kwamba kwa nini mtu mlevi ana uwezo wa kunywa bia zaidi ya tano lakini hawezi kunywa soda zaidi ya tatu? Kuna nini hapa!
Kwamba kwa nini mtu mlevi ana uwezo wa kunywa bia zaidi ya tano lakini hawezi kunywa soda zaidi ya tatu? Kuna nini hapa!
kama kawa mzee wa kukurupuka. Sasa hapo maswala ya kulewa yametoka wapi! Uwe unasoma post mpaka mwisho ww!Mie nakunywa soda kumi na silewi, sasa wewe umeshasema ni mlevi, sasa mlevi unataka alewe soda? Unachekesha!
Unauliza maswala ya kulewa yametoka wapi wakati unaongelea mlevi na bia? Ama kweli JF imeingiliwa. Nenda shule kasome achana na haya majukwaa ya watu wazima.kama kawa mzee wa kukurupuka. Sasa hapo maswala ya kulewa yametoka wapi! Uwe unasoma post mpaka mwisho ww!
we mmama, ugomvi wa kazi gani?Unauliza maswala ya kulewa yametoka wapi wakati unaongelea mlevi na bia? Ama kweli JF imeingiliwa. Nenda shule kasome achana na haya majukwaa ya watu wazima.
kama kawaida yako kukomplicate, we nenda baa wakati mi nafanya mpango wa kulirudisha.Asante, nakuomba ulirudishe huko huko ulikolitoa
Hivi are you 4 real! Kwa hiyo hata hujaelewa kinachoulizwa,au ulichojibu ndo umeona kwene pumba zako hiyo ndo inafaa? Either ni maisha or umri wako ndo unatatizo! Anyways hauko sawa we 'jamaa',afu vipi 2000/= zenu bado wanawapa? Umeongelea jf kuingiliwa ukanikumbusha hii.https://www.jamiiforums.com/complai...mizi-ndani-ya-jf-ni-wakati-wa-kuwatambua.htmlUnauliza maswala ya kulewa yametoka wapi wakati unaongelea mlevi na bia? Ama kweli [color= red]JF imeingiliwa[/color]. Nenda shule kasome achana na haya majukwaa ya watu wazima.
mtu mlevi anayeongelewa hapa ni yule mnywaji(huwa anakunywa pombe) sasa kwann hana uwezo wa kunywa soda nying,wakat anakunywa bia nying na vyote ni vimiminika.Mie nakunywa soda kumi na silewi, sasa wewe umeshasema ni mlevi, sasa mlevi unataka alewe soda? Unachekesha!
kumuelewesha huyo ni kutwanga maji kwenye kinu!mtu mlevi anayeongelewa hapa ni yule mnywaji(huwa anakunywa pombe) sasa kwann hana uwezo wa kunywa soda nying,wakat anakunywa bia nying na vyote ni vimiminika.
mtu mlevi anayeongelewa hapa ni yule mnywaji(huwa anakunywa pombe) sasa kwann hana uwezo wa kunywa soda nying,wakat anakunywa bia nying na vyote ni vimiminika.
kumuelewesha huyo ni kutwanga maji kwenye kinu!
nahisi yako ndo yameganda, we ni mtu wa kawaida umakunywa soda 10? Mhhh! Au ndo yaleyale ya kusema FF haeleweki? Zamani muda mwingi kwenye Computer tukahisi jini leo unakuja na mapya ya kunywa soda kumi kwa mfululizo! Hahahahahahahaha!!! Tuambie we ni nani?Hahahaha, ukileta pumba humu unakutana na mchele. Ukileta hoja hakikisha unaweza kuitetea, si wote wenye mawazo mgando, upo hapo ulipo?
nahisi yako ndo yameganda, we ni mtu wa kawaida umakunywa soda 10? Mhhh! Au ndo yaleyale ya kusema FF haeleweki? Zamani muda mwingi kwenye Computer tukahisi jini leo unakuja na mapya ya kunywa soda kumi kwa mfululizo! Hahahahahahahaha!!! Tuambie we ni nani?
Hayo umeongeza wewe, hata huyo mnywaji beer hazinywi beer kumi mfululizo, unanini weyee? Unachakachuwa kweupeeeee!
Kwamba kwa nini mtu mlevi ana uwezo wa kunywa bia zaidi ya tano lakini hawezi kunywa soda zaidi ya tatu? Kuna nini hapa!
kwanza swali langu liliuliza kwa nini bia inayolewesha mtu hunywa nyingi wakati hiyo soda kumi unazokunywa wewe huyo huyo mlevi hawezi kuzidisha tatu ingawa haileweshi. Huoni kama ulibaka hoja? Mhh ff!Hayo umeongeza wewe, hata huyo mnywaji beer hazinywi beer kumi mfululizo, unanini weyee? Unachakachuwa kweupeeeee!
Kwamba kwa nini mtu mlevi ana uwezo wa kunywa bia zaidi ya tano lakini hawezi kunywa soda zaidi ya tatu? Kuna nini hapa!