minda JF-Expert Member Oct 2, 2009 1,068 66 Oct 7, 2010 #2 ah! mbona wote jinsia moja? anyway, hata mimi nimeipenda! unanikumbusha ile ya kale hapa jamiiphotos!!
ah! mbona wote jinsia moja? anyway, hata mimi nimeipenda! unanikumbusha ile ya kale hapa jamiiphotos!!
Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member Jan 10, 2009 5,471 734 Oct 7, 2010 Thread starter #3 Huo mdomo balaa kama wa Clementine wa kwenye Song of Lawino and O'kol
minda JF-Expert Member Oct 2, 2009 1,068 66 Oct 7, 2010 #4 Mfunyukuzi said: Huo mdomo balaa kama wa Clementine wa kwenye Song of Lawino and O'kol Click to expand... ....au mkuu rutunga mzee wa nkenge!!!
Mfunyukuzi said: Huo mdomo balaa kama wa Clementine wa kwenye Song of Lawino and O'kol Click to expand... ....au mkuu rutunga mzee wa nkenge!!!
Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member Jan 10, 2009 5,471 734 Oct 7, 2010 Thread starter #5 minda said: ....au mkuu rutunga mzee wa nkenge!!! Click to expand... Ndio kitabu gani hicho mkuu
Fixed Point JF-Expert Member Sep 30, 2009 11,304 12,744 Oct 7, 2010 #6 Mfunyukuzi said: Click to expand... mdada analisikilizia kwa hisia zote! kaazi ipo kweli
minda JF-Expert Member Oct 2, 2009 1,068 66 Oct 8, 2010 #9 na hii imekaaje mfunyukuzi??? kuna hiyari pande zote mbili katika busu hili??
minda JF-Expert Member Oct 2, 2009 1,068 66 Oct 8, 2010 #10 Mfunyukuzi said: Ndio kitabu gani hicho mkuu Click to expand... rutunga ni mkuu mwenzetu huyu jamaa kutoka mkoa wa kagera wilaya ya nkenge unaweza kuitembelea profile yake hapa nilikuwa nafananisha mdomo wake na yule mzungu wa very kissable!!!
Mfunyukuzi said: Ndio kitabu gani hicho mkuu Click to expand... rutunga ni mkuu mwenzetu huyu jamaa kutoka mkoa wa kagera wilaya ya nkenge unaweza kuitembelea profile yake hapa nilikuwa nafananisha mdomo wake na yule mzungu wa very kissable!!!
Kituko JF-Expert Member Jan 12, 2009 9,555 9,330 Oct 8, 2010 #12 Fixed Point said: mdada analisikilizia kwa hisia zote! kaazi ipo kweli Click to expand... WALA HAKUNA SHAKA HAWA WANKOBOAnA TU
Fixed Point said: mdada analisikilizia kwa hisia zote! kaazi ipo kweli Click to expand... WALA HAKUNA SHAKA HAWA WANKOBOAnA TU