Nimelazimika Kutembea Na Mume Wa Mtu! Sina Jinsi! Kama Mumeo Ungenilaumu Kweli!

Hahahaaaaaaaaaaaaaa! ITS NOT A LAUGHING MATTER! (And i am ashamed of my self)

Yah! Yah! Yah! LOVE MAKING! (Its probably the same thing except this time is IN THE NAME OF LOVE!) Whatever!

Life is not that simple! Ingekuwa ukimpenda tu na yeye anakupenda mbona ingekuwa swadaktaaaa! Except tu ya binadamu mengi sanaaa! HEART BREAK kibaoooooooo! Its not like if you do for the sake of love you are safe!

Maisha maishani, whatever the case LOVE IS NOT FAIR AND NEVER WAS! And whom the gods seek to destroy come calling first!

Mtazamo wangu wa mapenzi ni tofauti sana, mimi ni equal partner wa sex, love making or whatever u may call it. Hivyo sigawi au kutumika, so l am never a victim.


My point was, hukuhitaji kuleta jukwaani maamuzi yako maana unatumika na devil bila kujijua. Be of positive influence rather than negative one.
 
Kaunga, lara1 ni gold digger!, ameleta uzi huu kufurahisha tuu genge!, wakati wewe unazungumzia true love na true marriage ambayo ni sacred institution based on the spiritual love yeye anazungumzia mume wa mtu as a security kwenye situation yake ya sasa!.

Any way in a cause of life nimeisha pitia both way ya ku deal na vi binti nikiwa mume wa mtu, but also wake za watu!. The only excuse vibinti vinatumia ni alinianza mwenyewe!, na ku justify kuwa wanawake wako wengi kuliko wanaume, hivyo hata akisubiri kumpata wake ana hatari ya kutoka kapa!.

Namshauri Lara anitembelee kule kwenye willpower nimfundishe to get all that she wants including mume wake mwenyewe, pesa na each and everything hata kama ni ku drive Vogue, ataendesha!.
Pasco

Msome vizuri lara 1
unaweza kukuta wala sio gold digger kama anavyojifanya

kuandika yoote hapa inaweza kuwa kuna 'guilty fulani' inamsumbua
which a true gold digger hawezi ku feel guilty....

halafu kuandika ni part of her.....to share it with people...

hii kitu wanayo watu wachache mno....wanaoweza hata kusema walikuwa raped kama Oprah.

kuna kitu naona hujakiona hapa Pasco...
 
Last edited by a moderator:
Hehehe....

Tena wewe utakuwa memba wetu pamanenti...orodhesha kabisa shida zako zote za kifweza tuandae fungu lako mapema...

Halafu hebu chagua unataka tukulipe kwa madafu, dolare au yuro?

mi nilipwe kwa madolare tu.......ila hala hala wife asijue hii makitu........

kuwe kuna high level of confidentiality tu
 
Sasa wewe Lara 1,mkuu ndio hivyo tena,hiyo shughuli utaiweza kweli?Utaweza kumudu mapigo kwa khali yako??Halafu Lara 1 huwezi kugegedana na mwanaume kwa kumpenda tu kutoka moyoni bila minajili ya mshiko ndani yake.
 
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Husikeni na kichwa cha habari hapo juu!

Kwa utangulizi mfupi mimi nilipata ajali July sasa kutokana na hiyo ajali bado naumwa umwa mara kwa mara! Namshukuru Mungu sikulemaa ila ocassionally nikitembea sanaa mguu unavimba nakuwa nachechemea! Pamoja na ajali mambo yangu mengi mwaka huu yamevurugika vurugika, na huku kuumwa mda mrefu sina hata uhakika nitapona lini kumeleta mambo mengi sanaa yasiyo furahisha ikiwemo kutikisika kiuchumi na kulazima kuwa na savings kubwa incase emergency ya kwenda kutibiwa nchi za watu nisiabike! Nimejikuta ninahitaji la mamilioni wakati mia sina!lol! Kuumwa huku kazi imenishinda, dili zinasuasua mda mwingi nakuwa nauguza mguu. (msisikitike sana ndo maisha hayo! ITS NOT THAT BAD!)

Sasa wakati mimi nikishuka wenzangu wamepanda sanaaaa! Wamefanya ambo makubwa! Ni heri yao wala siwaonei wivu ila wanaleta zarau! Ujue mimi naumwa afu nimekwamaa instead of showing compassion and remembering the good things i did for them wanaleta compeee! As if i am finished! (Maybe i am truly finished) Its over for me, sina thamani tena, full kuwa ignored. I dont matter no more. Sababu naumwa kuna watu nawadai hawanilipi, nitawafanya nini wakati afya mgogoro, kuna watu wananisikitikia sasa sijui kweli au unafiki, All in all MIMI HAYA MAISHA MAPYA SIJAYAKUBALI! WALA SITOKAA NIYAKUBALI!

I am so bitter in my heart hadi nikiingia humu naona mada zote zinaniboa tu! Yaani nawaza for how long niwaache hawa watu waendelee to look down at me, wanikalie kichwani, waone wamenializa! Hapana aiseee! Naturally mimi ni fighter! sio mnyonge! They have pushed me too far kwenye point of being capable of doing anything! I will do anything to build up myself again so that i can only TAKE CARE of them snitches! I want to rebuild my self ili niwashughulikie tu, one by one without showing any mercy. Siwezi kuishi hivi for the rest of my life. And dont tell me do nothing! Cause if i do nothing, nothing will happen.

Talk is CHEAP, i want to build myself Yeah! yeah! yeah! everybody surely wants that. The million dollar question is HOW!????? Sasa kuna waume za watu hawa 2, wamejipendekeza anga zangu at dangerous times like these! Hawa bwana they have what i need to whipe out all my enemies and troubles with just 1 word NIMEKUBALI!! Nataka nitangaze vita na multiple people and war means funds, and funds is what i dont have, na huko kujirestore to my previous position it aint a cheap procedure! Itanicost dearly! Yet its something that must be done! Hawa bwana nataka nichague mmoja and they have DISPOSABLE INCOME! Hizi stress zote nilizonazo can kujiachia na mume wa mtu be worse than hizi stress? I dont think soo!

Dont get so sentimental! Sio kwamba namchukua, im just borrowing him for some time KUJIOKOA kujiboreshea maisha kidogo! I deserve a little bit stress free life dont i?(Ofcourse the wifey deserve the most part of it sababu walionana mapema ila nikidokoa kidogo she wont mind) Besides SHIT HAPPENS BECAUSE IT JUST DOES!!!!!!!! Its not my fault or her fault that i got sick! But i got sick anyway! Its not like she will know or something!

Before you get SO JUDGY AND CONDEMNING dont be selfish and think a little me about me! Najua hii njia sio bora but dangerous times call for dangerous remedies! Do you really suggest MWENYE NACHO AJILIMBIKIZIE (Ana mume, kazi, happy family, mali everthing you wish for) NA MIE WANIMALIZIE KABISAAA! Kweliiiiiii? Hata msisuggest nifanye biashara coz itafilisika dakika2, akili haijatulia kabisaa, na moyo umejaa kisasi, Ndugu wa kunisaidia ni bi mkubwa wangu ila inabidi nimwambie hela za nini, sasa nikimwambia walivonifanya atapata uchungu zaidi ya wakwangu anaweza hata kupata pressure bure na sononeko kuu , ndugu zangu wengine wako kwenye list ya kushughulikiwa! Na hii kazi inahitaji disposable income cause hairudi!

Mambo ya kumuomba Mkuu, tuyaweke kando, kutokana na nature ya hili zoezi ni kulipa kisasi! Sio kwamba kuwasemehe nimeshindwa but ieshindikana sababu hii tabia chafu wataiendeleza, na tutaishi bila kuaminiana hadi lini, nalazimika kuwa descipline na kuwafundisha somo wasirudie tena! Haya masuala ni muhimu sana kwangu kupita mnavozani. Hakuna kitu kinauma kama kukataliwa na jamii yako bila sababu za msingi. Unaweza hata kunywa poison kama huna roho ya mchongoma!

Kweli if it was your hubby will you be mad at me? Show mercy! LOL! Na mliowahi kujiachia na waume za watu, why? and did you have any remorse? Embu nipeni INSIDE STORY kidogo.
if it real happened then i must say sorry!
kuhusu kukopa pe...nis and financial suport sina cha kusema to stop you but cheza kwa step..
na kama mguu bado haujapona sishauri ufanye ngono maana ndo utazidi kuwa weak.
 
Haahahaaaaaa nimecheka na kukuonea huruma pia.......

ume sound like a certain girl who is so desperate out there...

a girl who can do anything to get what she want....

so all you need is MONEY for show off that your still lara 1 they used to know......THAT'S ALL

halafu hilo swali la "If it was your Hubby will I be mad" at you that is Obvious...........

Tuseme hana tofauti na changudoa
 
Kaunga, lara1 ni gold digger!, ameleta uzi huu kufurahisha tuu genge!, wakati wewe unazungumzia true love na true marriage ambayo ni sacred institution based on the spiritual love yeye anazungumzia mume wa mtu as a security kwenye situation yake ya sasa!.

Any way in a cause of life nimeisha pitia both way ya ku deal na vi binti nikiwa mume wa mtu, but also wake za watu!. The only excuse vibinti vinatumia ni alinianza mwenyewe!, na ku justify kuwa wanawake wako wengi kuliko wanaume, hivyo hata akisubiri kumpata wake ana hatari ya kutoka kapa!.

Namshauri Lara anitembelee kule kwenye willpower nimfundishe to get all that she wants including mume wake mwenyewe, pesa na each and everything hata kama ni ku drive Vogue, ataendesha!.
Pasco

Kuhusu ugold digger siwezi sema kwa uhakika. Lkn ninachojua once mkishiriki tendo landoa na mtu, iwe kwa kwa kupata kitu in return au kwa pleasure tayari mnabadilisha mikosi au bahati. So pamoja na raha au na pesa lkn na mikosi/mabalaa au ngekewa unaondoka nayo.
 
Kweli if it was your hubby will you be mad at me? Show mercy! LOL! Na mliowahi kujiachia na waume za watu, why? and did you have any remorse? Embu nipeni INSIDE STORY kidogo.

Samahani kwa swali langu.........Je una watoto?

mom.jpg
 
yani the whole issue ya kutembea na mume wa mtu aint tht goood ILA sasa ndo niifanye nikijua siinjoi!
NOPE NOPE!
IKIWA UMEAMUA KUJILIPUA dogo jilipue tu kimya kimya na huku moyoni ukiwa unajua HUTUMIKI!
KATAA UKUBALI!
BISHA UTAKAVYOBISHA!
huwa hatufanyi ngono kwa kuwa tunataka kutumia miili yetu kufikia hatua fulani ya kimaisha!
that toooo childish!
pengine nimekua sana mkubwa kiasi sikuelewi!
 
mi nilipwe kwa madolare tu.......ila hala hala wife asijue hii makitu........

kuwe kuna high level of confidentiality tu

Heheh wapenda mifweza ya kijani wewe eenh...hilo utapata mama.

Hayo ya waifu tuachie siye, eksikyuzi ni safari ya kikazi nje ya nchi...kumbe tuko fukwe za zenji tu hapo
 
Pasco unatoa likes tu vipi?

hebu mpe deal huyu mtoto

i am sure unaona alivyo na 'kitu special' ambacho ni media related..
hebu leta maneno hapa nakusubiria..
Mkuu The Boss, nimeisha shuka on post no.218!. Ill inawezekana huyu Lara1, hana bahati mwana jf fulani aliwahi niunganisha naye jioni fulani kwenye dinner ya function fulani , akachomoa last minute!. Usikute ningemtokea na kumaliza matatizo yake yote!.

Lara1, njoo tukusaidie shida zako zote zitaisha ikiwemo kujipatia mume wako mwenyewe tena full loaded kuliko hata hicho kimume cha mtu !.
Pasco
 
Lkn ninachojua once mkishiriki tendo landoa na mtu, iwe kwa kwa kupata kitu in return au kwa pleasure tayari mnabadilisha mikosi au bahati. So pamoja na raha au na pesa lkn na mikosi/mabalaa au ngekewa unaondoka nayo.

Wengi hawalijui hili kwa kuwa hawana marifa nalo...sijui kama utaeleweka!!! natamani ueleweke
 
always huwa nasema aise wewe ni bonge la writter.hata ukiandika thread ndefu kias gani me huwa sichoki kuisoma. if you are not a writter then u should think about that.
anyway kuhusu mada leo sorry for what is happening to u.
 
Mkuu The Boss, nimeisha shuka on post no.218!. Ill inawezekana huyu Lara1, hana bahati mwana jf fulani aliwahi niunganisha naye jioni fulani kwenye dinner ya function fulani , akachomoa last minute!. Usikute ningemtokea na kumaliza matatizo yake yote!.

Lara1, njoo tukusaidie shida zako zote zitaisha ikiwemo kujipatia mume wako mwenyewe tena full loaded kuliko hata hicho kimume cha mtu !.
Pasco

lara 1 atakuona tu ondoa shaka...
mambo huanza taratiibu kama hivi...
na wewe siku moja utajisikia vizuri kushiriki kuibua new talent kwenye industry..i am sure
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom