Nimekuwa jambazi kwa muda mrefu, nahitaji kuokoka sasa

Hawa ndio vijana wasio na ajira na wengi hulala vyumba virefu wamwisho kulala wa kwanza kuamka na kusubili ugali wa kengele haya ww ota sisi tunafanya kazi
 
Habari wana Jf
Mimi ni kijana wa makamo ambaye nimekuwa nikijishughulisha na uporaji,wizi na tabia zingine kama hizo lakini sikuwahi kutumia bunduki labda silaha za jadi na sikuwahi kukamatwa.
Nimekuwa nikifanya hivyo takribani miaka minne sasa na nimekuwa nikishuhudia watu wakiuawa mbele ya macho yangu pindi wanapokaidi kufanya yale tunayokuwa tukihitaji kutoka kwao.
Juzi (usiku wa kuamkia jana) nimenusurika kupigwa risasi katika purukushani ya kupora pesa ambapo mwenye mali alionekana kuwa na taarifaa juu ya ujio wetu hali iliyopelekea kukutana na ugumu katika kuchukua mzigo huo...Nilipofika nyumbani sikuamini kama nimepigwa risasi ya mkono wa kushoto,nilijuta sana na kuapa sitokuja kuiba tena kwani hakuna mafanikio yoyote niliyoyapata tangu nianze kupora zaidi ya starehe na dhambi kwa Mola wangu...nimewaza sana mwisho nimeamua niokoke..wakati nataka kuinuka ili niende kanisani nikatubu ghafla nasikia mlio wa message katika simu yangu ambao ulinishtua kutoka usingizini nilikokuwa naota ndoto hiyo....Ndoto zingine bhana we acha tu.
Hawa ndo majambazi wetu
 
Ulinusurika kupigwa risasi ila ukapigwa risasi mkononi????

Anyway..... katika ujambazi wako umewahi kuua???
 
Hii kitu ikivutwa asubuhi kabla hujanywa chai madhara yake ni kama ya mleta thread
9393370_orig.jpg
Ahahaha...!!
 
Habari wana Jf
Mimi ni kijana wa makamo ambaye nimekuwa nikijishughulisha na uporaji,wizi na tabia zingine kama hizo lakini sikuwahi kutumia bunduki labda silaha za jadi na sikuwahi kukamatwa.
Nimekuwa nikifanya hivyo takribani miaka minne sasa na nimekuwa nikishuhudia watu wakiuawa mbele ya macho yangu pindi wanapokaidi kufanya yale tunayokuwa tukihitaji kutoka kwao.
Juzi (usiku wa kuamkia jana) nimenusurika kupigwa risasi katika purukushani ya kupora pesa ambapo mwenye mali alionekana kuwa na taarifaa juu ya ujio wetu hali iliyopelekea kukutana na ugumu katika kuchukua mzigo huo...Nilipofika nyumbani sikuamini kama nimepigwa risasi ya mkono wa kushoto,nilijuta sana na kuapa sitokuja kuiba tena kwani hakuna mafanikio yoyote niliyoyapata tangu nianze kupora zaidi ya starehe na dhambi kwa Mola wangu...nimewaza sana mwisho nimeamua niokoke..wakati nataka kuinuka ili niende kanisani nikatubu ghafla nasikia mlio wa message katika simu yangu ambao ulinishtua kutoka usingizini nilikokuwa naota ndoto hiyo....Ndoto zingine bhana we acha tu.
Masuala ya kuweka viza kunako 0713 haya....
Hii kitu ikivutwa asubuhi kabla hujanywa chai madhara yake ni kama ya mleta thread
9393370_orig.jpg
 
Habari wana JF,

Mimi ni kijana wa makamo ambaye nimekuwa nikijishughulisha na uporaji, wizi na tabia zingine kama hizo lakini sikuwahi kutumia bunduki labda silaha za jadi na sikuwahi kukamatwa. Nimekuwa nikifanya hivyo takribani miaka minne sasa na nimekuwa nikishuhudia watu wakiuawa mbele ya macho yangu pindi wanapokaidi kufanya yale tunayokuwa tukihitaji kutoka kwao.

Juzi (usiku wa kuamkia jana) nimenusurika kupigwa risasi katika purukushani ya kupora pesa ambapo mwenye mali alionekana kuwa na taarifaa juu ya ujio wetu hali iliyopelekea kukutana na ugumu katika kuchukua mzigo huo. Nilipofika nyumbani sikuamini kama nimepigwa risasi ya mkono wa kushoto, nilijuta sana na kuapa sitokuja kuiba tena kwani hakuna mafanikio yoyote niliyoyapata tangu nianze kupora zaidi ya starehe na dhambi kwa Mola wangu.

Nimewaza sana mwisho nimeamua niokoke, wakati nataka kuinuka ili niende kanisani nikatubu ghafla nasikia mlio wa message katika simu yangu ambao ulinishtua kutoka usingizini nilikokuwa naota ndoto hiyo. Ndoto zingine bwana we acha tu.

Mrudie Mungu wako. Kuwa na moyo wa huruma kidogo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom