Nimekuta majina ya ajabu huku singida

vanmedy

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
2,698
1,395
ebwana mzunguko wa maisha umenilazimu kutia nanga huku singida for a while...ila majina ya sehemu za huku mmnhh
1.KINYETO
2.KIPUMBWIKO
3.MAKHOJOA
4.ISHPUNGA
5.SENGE
6.UNYANKINDI
7.UNYAMIKUMBI
8.MUGHANGA
9.MANGUANJUKI
10.KIMPUNGUA
11.MANDEWA
12.KISUDA
13.MUNGUMAJI
na mengine kibao....wenyeji wanaweza kuingezea
 
Sasa kule Mkoani Sanya Juu kuna ukoo unaitwa kiungo cha uzazi cha mwanaume (malizia na "ro) Sasa Mwanamke anakuwa refered kama Ma-kiungo "ro"..
 
yaap me mwenyewe nshawahi kushuhudia jamaa jina lake la ukoo b**ro
 
Kaka kila kabila hapa tz lina maana yake, na maneno yake kwa mfano: ukima ni ugali kwa lugha ya wakurya wa musoma but kwa msukuma ni K. Wakelewe nao wanakuambia yego waja kulalakumamayo? Hua wana maana fulani! Mkelewe anajua!!! Kuna kiwanda cha magari huko china kinaitwa kumamoto!
ebwana mzunguko wa maisha umenilazimu kutia nanga huku singida for a while...ila majina ya sehemu za huku mmnhh
1.KINYETO
2.KIPUMBWIKO
3.MAKHOJOA
4.ISHPUNGA
5.SENGE
6.UNYANKINDI
7.UNYAMIKUMBI
8.MUGHANGA
9.MANGUANJUKI
10.KIMPUNGUA
11.MANDEWA
12.KISUDA
13.MUNGUMAJI
na mengine kibao....wenyeji wanaweza kuingezea
 
Kaka kila kabila hapa tz lina maana yake, na maneno yake kwa mfano: ukima ni ugali kwa lugha ya wakurya wa musoma but kwa msukuma ni K. Wakelewe nao wanakuambia yego waja kulalakumamayo? Hua wana maana fulani! Mkelewe anajua!!! Kuna kiwanda cha magari huko china kinaitwa kumamoto!

hehehehehe nimekuelewa 100%
 
Sasa kule Mkoani Sanya Juu kuna ukoo unaitwa kiungo cha uzazi cha mwanaume (malizia na "ro) Sasa Mwanamke anakuwa refered kama Ma-kiungo "ro"..

tomboka baba tombookaaa...ongea ongea baba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom