Ova
Member
- Feb 18, 2017
- 46
- 31
Nadhani wahusika wa TBS wako humu jamvini
Napenda sana maji ya Afya ila leo asubuhi nilinunua maji kampuni ya Afya katika duka moja tandika, nilianza kuyatilia mashaka kabla sijayanywa kutokana na chupa yenyewe haina ubora ni laini mno tofauti na nilivyozoea.
Nilifungua chupa na kuyanywa yana harufu kama ya sabuni na ladha yake sio nzuri na baada ya nusu saa kupita nimeanza kujisikia vibaya, macho na kichwa kinauma naomba wahusika mfuatilie wananchi mtatumaliza.
Sent using Jamii Forums mobile app