Nimekacha mwaliko wa Mkuu wa kaya

Huo ni woga wa bure, yale mambo ya mabwepande hatuyafanyi Mwezi huu mtukufu wa Ramadhani, Tuombe radhi!!!

Mkuu naomba radhi kwa dhati. Hata hivyo unajua pindi kama ingetokea kweli nimchape kiatu cha Bush sana sana msamaha ambao ningepata ni ni kutunzwa stoo baada ya kisago cha mbwa. Baada ya Iddi tu ni Mabwe, au uwongo sheikh?
 
HV mtu unafuturu vipi wakati hujafunga akina Mbatia, Six na mama Shelukindo hamwoni aibu jamani?. Huhitaji hata darasa moja kuelewa kwamba kwa kukalia ule mkeka wa watu walio kwenye mfungo uko OUT OF PLACE na unatia aibu. Wenzako wana njaa ya tangu saa 10 usiku wewe unakwenda kufakamia chakula chao huku ukijua ulikunywa chai, na umepata lunch mchana.
 
376961_328707573888524_178087542_n.jpg

Du, hii nimeipenda sana. Huyu lazima 2015 apige kura ya ndiyo kwa chichiyemu
 
ooh kumbe ila huwa mnatuita makafiri toka lini mkawa na upendo kutoka moyoni? labda mmebadilika siku hizi. anyway hatupo kwenye suala la dini tupo kwenye mada ya mtu kukataa kwenda kwenye mualiko. dini hainihusu mkiinita kafiri, na majina yoote i dont care,

naona umejitambua kama weye ni kafiri .. usijali man pamoja kwamba wewe ni kafiri "according to u " ukiona mahali kuna sherehe, maulid , dua ya waislam muda wa sadaka ya chakula umefika we jikongoje hakuna atakaye kuzuia trust me! hata kama una rozali yako shingoni .. sio mwezi huu tu siku yeyote..

Mkuu sadaka ya kweli ni kuwapa wale wenye njaa ya ukweli ana mahitaji ya ukweli na sio kuwashibisha wale wenye uwezo wa kupata hicho chakula kama mwezi mzima angekuwa anawafuturisha watoto yatima wakiwa pamoja hapo hata kwa mwenyezi mungu anapata thawabu ya kutosha, ajifunze kwa mzee wa azam huyo namuaminia kabisa maana kila ijumaa anawatolea sadaka ya ukweli wa watoto yatima na omba omba sio huyo kuwajaza watu waliojishibia na kupiga nao picha aonekane ni mtu wa watu.

Nafikiri dini zote zinafundisha kuwa kama unatoa sadka kwa watu na kujitangaza ili uonekane unawajali sana binadam wenzako hiyo sadaka yako kamwe haitakubaliwa, toa kimya kimya na usahau kimya kimya.

Naona sana kipindi hiki kwenye mablog mbali mbali ni full watu kujitangaza mara leo watu wamefuturu huko, kule ili tu waonekane hawawezi kujifunza hata kutoka kwa wenzenu?? ulishasikia mijitangazo ya kula kula hivyo??

ni kweli marangapi unaona picha kutoka ikulu kikwete akifturu na watoto yatima ... au hujawahi kuziona weye ..? kuhusu swala la kutangaza lazima utangaze kwamba siku fulani tarehe fulani nitafuturisha ili watu waje .... plus sadaka ya chakula waislam hatutoi mwezi huu tu! hata siku za kawaida .. mara ngapi mitaani kwetu waona watu wakifanya sherehe za maulid baada ya hapo kuna dondoshwa sinia ya pilau we unadhani ni nini ile..?! ile ni sadaka man... sadaka sio pesa peke yake! can be chakula .. nguo.. etcl..
 
naona umejitambua kama weye ni kafiri .. usijali man pamoja kwamba wewe ni kafiri "according to u " ukiona mahali kuna sherehe, maulid , dua ya waislam muda wa sadaka ya chakula umefika we jikongoje hakuna atakaye kuzuia trust me! hata kama una rozali yako shingoni .. sio mwezi huu tu siku yeyote..

nashukuru mungu sijawahi kuhudhuria kwenye hayo mambo yenu ya ajabu ajabu najiepusha nayo siku zote za maisha yangu kwani huitwa wapagani.
 
May we all live to see that happen!

Gods willing it will happen and if we play our part it can be done sio muda mrefu mabadiliko yatakuja tu. Wao hawakuandikiwa kututawala na kutunyonya DAIMA.
 
Wakati wa kwaresima huwa mnafuturu?

Wew ni taahira wa kudumu unajulikana. Sijui huwa unaingia kufanya nini kwenye viwanja vya wa2 timamu? You are always low in reasoning.
 
nashukuru mungu sijawahi kuhudhuria kwenye hayo mambo yenu ya ajabu ajabu najiepusha nayo siku zote za maisha yangu kwani huitwa wapagani.

hahaha ati maeneo yetu ya ajabu ajabu... huko BAR unaposhinda si utasemaje ... anyways somo limeeleweka ... karibu iftari nafuturu hapa mihogo ya nazi na samaki wa vipande ..
 
hahaha ati maeneo yetu ya ajabu ajabu... huko BAR unaposhinda si utasemaje ... anyways somo limeeleweka ... karibu iftari nafuturu hapa mihogo ya nazi na samaki wa vipande ..

mkuu huko bar wamejaa watu wanamna gani? natumia pombe na sijifichi niko free kwa hilo je kwenu imeruhusiwa? mbona nyie ndio mnafungua bar na ukumbi nyingi za starehe hapa mjin na imani yenu inakataza hivyo vitu? hapo unalizungumziaje? si tunauita unafki mwezi huu zunguka kote bar na wauza kitimoto biashara imezorota kwanini? ukijiona wewe msafi usifikiri wote mlioinama hapo msikitini wasafi, jiulize marambili kabla hujamyooshea mwenzako kidole.
 
Nakupongeza mkuu umefikiria mbali sana kwani kura yako 2015 tungeikosa halafu magamba yangeshinda kwa tofauti ya kura 1.

Duh, mkuu umenikumbusha matokeo ya ubunge ya jimbo la Shinyanga mjini mwaka 2010 ambapo mgombea wa CCM, Bw. Masele alimshinda wa Chadema kwa tofauti ya kura 1. Yote yanawezekana Tanzania hii!
 
Duh, mkuu umenikumbusha matokeo ya ubunge ya jimbo la Shinyanga mjini mwaka 2010 ambapo mgombea wa CCM, Bw. Masele alimshinda wa Chadema kwa tofauti ya kura 1. Yote yanawezekana Tanzania hii!

Ni kweli unawezashangaa hata kwenye urais ikawa hivyo. Tanzania zaidi ni zaidi ya uijuavyo!
 
mkuu huko bar wamejaa watu wanamna gani? natumia pombe na sijifichi niko free kwa hilo je kwenu imeruhusiwa? mbona nyie ndio mnafungua bar na ukumbi nyingi za starehe hapa mjin na imani yenu inakataza hivyo vitu? hapo unalizungumziaje? si tunauita unafki mwezi huu zunguka kote bar na wauza kitimoto biashara imezorota kwanini? ukijiona wewe msafi usifikiri wote mlioinama hapo msikitini wasafi, jiulize marambili kabla hujamyooshea mwenzako kidole.

Dude .. taratibu jazaba za nini ..??? The way you went on me one would think ramadhan bus had run over cat.

mkuu huko bar wamejaa watu wanamna gani?

wasiojitambua

natumia pombe na sijifichi niko free kwa hilo je kwenu imeruhusiwa?

haturuhusiwa hata kwa kujificha ..

mbona nyie ndio mnafungua bar na ukumbi nyingi za starehe hapa mjin na imani yenu inakataza hivyo vitu?

nyie kina kina nani..?!

hapo unalizungumziaje?

Uislam sio jina bali ni vitendo pia ..

si tunauita unafki mwezi huu zunguka kote bar na wauza kitimoto biashara imezorota kwanini?

ni heshima na utu walio nao watanzania juu ya huu mwezi, nilipokuwa mdogo nakumbuka mama yangu alikuwa na rafiki yake mama wa kilokole pasaka alikuwa akituletea msosi na sisi siku ya ead tulikuwa tukimpelekea msosi .. in reality mtaani watu ndivyo wavyoishi huko uswahilini..

ukijiona wewe msafi usifikiri wote mlioinama hapo msikitini wasafi

moja ya faida moja ya prayer katika uislam ni kumtakasa mtu moyo wake na kuachana na maovu so naamini yoyote mwenye kuswali swala 5 ni msafi .. labda awe anakwenda msikitini kwa ajili ya show off .. sababu mtume wetu Mohammad SAW anatuambia hakika kila jambo huzingatiwa kwa nia na kila mtu ana lake alilo nuia moyoni mwake ..

jiulize marambili kabla hujamyooshea mwenzako kidole.

ok dude Don't be so silly, ni wapi nilipo kunyooshea kidole !
 
naona umejitambua kama weye ni kafiri .. usijali man pamoja kwamba wewe ni kafiri "according to u " ukiona mahali kuna sherehe, maulid , dua ya waislam muda wa sadaka ya chakula umefika we jikongoje hakuna atakaye kuzuia trust me! hata kama una rozali yako shingoni .. sio mwezi huu tu siku yeyote..

.

Isingekuwa kwanjia ya sime iliyoeneza huo Uisilamu unaojidai nao...sijui ungekuwa nani leo!!

Heshimu sana sime lasivyo ungekuwa kafiri!

.
 
hahaha ati maeneo yetu ya ajabu ajabu... huko BAR unaposhinda si utasemaje ... anyways somo limeeleweka ... karibu iftari nafuturu hapa mihogo ya nazi na samaki wa vipande ..

Mkuu njiwa juzi niliwapa mualiko rafiki zangu Wakiristo walikula muogo wa nazi na samaki jodari, na katres za samaki, na uji wa shurba pamoja maamri na rost ya mbuzi, chapati za samri, wakashushia na juice ya pera leo tena wameniomba mualiko tena...nimewambia Ijumaa wamefurahi sana.
 
Last edited by a moderator:
Kama kawaida mkuu wa kaya kipindi hiki huandaa futari na kuwaalika watu fulani fulani kuwafuturisha. Nilipata mwaliko jana kuwa kesho (leo) anafuturisha. Siyo siri, nimetoa "excuse" kwamba nitakuwa safarini kwani nawahurumia watoto wangu bado wadogo. In short niliogopa ningemkosa na kiatu huyu jamaa afu yangenipata mabaya zaidi ya yaliyompata mwenzangu Muntadar al-Zaid. Mwenzangu walimvunja mbavu ila mimi labda ningeishia Mabwepande.
Ungeenda mkuu labda ungeambulia UBUNGE WA MBELEKO
IMG_0941.jpg
 
Back
Top Bottom