Nimekacha mwaliko wa Mkuu wa kaya

IMG_0941.JPG

Naona juice za Azam kwa mbali hapo, nauliza hivi Zitto kabwe na Rage walishiriki hii futari!
 
Watu mnapata bahati mnaachainapita hivihivi Du!
Hiyo kadi uwezi nipa mimi nikazama nayo mgogoni mkuu?
 
Jana nilisikia eti malawi wanatuzidi kwa akiba ya dhahabu ilioko bank kuu kwa mujibu wa waziri wa nishati
 
Watu mnapata bahati mnaachainapita hivihivi Du!
Hiyo kadi uwezi nipa mimi nikazama nayo mgogoni mkuu?

Tatizo huwa zinakuja zimeandkikwa jina toka huko. Anyway, next time nistue nikupigie pasi ya kisigino ukalambe.
 
mbona naona wengine kama hawafuturu wanakula dinner kwani wote wamefunga hao? namuona baba bottom hapo na muheshimiwa sitta au ndio kualikana kwenyewe huku?

mkuu ndio uzuri wa dini yetu inapokuja swala la sadaka ya chakula yoyote anakaribishwa !
 
ah! .... bado kidogo nimsahau mtoa mada! .."ebana we mshamba sana yaani!" kukataa mualiko ndio umekuja kuanzisha thread Jamii forums! .. ????? haya basi hongera umealikwa na Rais na ukakataa!! hahahahahaha! watu bana! alafu umekuja kuutupia uzi jukwaa la siasa! ...
 
Tatizo huwa zinakuja zimeandkikwa jina toka huko. Anyway, next time nistue nikupigie pasi ya kisigino ukalambe.
Na unajua mimi ningeenda ili tu nami nishiriki kula kodi yangu coz kwani unadhani hiyo bajeti ya futari imetoka wap?
 
Kumbe hata MAKAFIRI oppppssss wakristu wanafuturishwa?!!!
Yule sio MBATIA kweli au kasilimu siku hizi?!

Mkuu kuna kitu kinaitwa Coexistence dini zetu haziwezi kamwe kutufanya kuwa na uadui sisi ni wamoja toka zamani.
 
mkuu ndio uzuri wa dini yetu inapokuja swala la sadaka ya chakula yoyote anakaribishwa !

Mkuu njiwa sadaka ya chakula kwa mtu yoyote kwa muislam ana asiyekuwa muislam...jamaa wanataka kuleta chuki bila sababu za msingi.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kuna kitu kinaitwa Coexistence dini zetu haziwezi kamwe kutufanya kuwa na uadui sisi ni wamoja toka zamani.

Neno la busara kabisa. Sasa basi washauri na wanaUAMSHO (Bara) wasicharaze bakora maCD wetu - hawa ni wadogo zetu, mabinti zetu, wadada zetu, wajukuu wetu, washangazi zetu, Waislamu wenzetu, Wakristo wenzetu, Wajadi wenzetu nk, nk, ambao ni zao la mfumo wa uchumi tulioukumbatia na hivyo wanatimiza mchakato wa demand na supply. Sasa unapowabakorisha watoa huduma bila kuwabakorisha wateja si hiyo ni kuharibu hizo baraka zako za mwezi Mtukufu!
 
Mkuu njiwa sadaka ya chakula kwa mtu yoyote kwa muislam ana asiyekuwa muislam...jamaa wanataka kuleta chuki bila sababu za msingi.

maneno yako ya kweli mkuu! waislam swala la msosi hatuna hiyana.... hakuna sadaka nzuri kama kumlisha mtu na akashiba kwani anapata nguvu za kwenda kutafuta riziki ..

alafu huyu jamaa nadhani alichanganya facebook na JF .. hii ilifaa aweke facebook status! maana hakuna cha kujadiliwa hapa... yaani mtu kakataa mualiko iftari/ harusi etcl anakurupuka kuja kutafuta jukwaa la siasa JF lipo wapi anatupia thread!
 
Back
Top Bottom