Nimeitwa interview kupitia zoom , lakini wizi mtupu

Huyo HR sooo...mpaka skills za kumanage financial resources anazo..basi angefaa awe financial mangr coz dah....ni mbunifu wa kufind sources za funds...mimi nampa pongezi zangu za dhati kabisa. GOOOD JOB, Keep it up S. K. Kihiyo
Human resource manager wa KIBACHA COMPUTER TRAINING.

The husle continues.
Keep ya head up guys.
 
kwanza mleta mada unapaswa kuwaomba radhi Zoom kwa kuchafua jina lao. Zoom hawana uwezo wa kuhakiki kila kampuni inayoleta tangazo la ajira kwao kama ipo kweli au ni kanjanja. Kichwa cha habari na kilichomo ndani ni tofauti kabisa. Wewe umetapeliwa na Kibacha na sio Zoom. Mbona husemi vyombo vya habari kwamba ni matapeli wanapoweka tangazo la biashara la kila bidhaa kwamba ni bora kuliko zingine?
 
Hapo hyo centre haichukui mtu na hzo pesa mlizotoa kama vyanzo vya mapato ktk centre.Me nahis deadline line ku2ma pesa iksha hyo haitakuwa hewan tenaa.
 
Back
Top Bottom