Nimeipendaa hii HOJA ya Dk Slaa kwa Kikwete tazama na picha pia

Mh yani wewe huyu Dr nae yani Track na Moka jamani huyu ni public figure jamani watu waanze kumtengeneza hata vitu na ashauriwe msaidieni jamani Dah....

Kwa uchu wa madaraka Hawa watu huwa wanafikiria wakaseme nini na Leo atoe dongo gani basi Sasa kuna siku atakuja na Zipu wazi public.

Moka na tracksuit mh hii happy valentine?

Wapi mamaa Mushumbuzi?????

Kazi yako hiyo...
 
JK anamkabidhi nchi DR 2015 kiaina, sisi wenye akili tumeshatambua hilo, kaeni na ccm yenu ya makundi na fitna watu wanachukua nchi kiulainii.

Kukuhakikishia hilo kaitosha ccm kwenye mchakato wa katiba -- Jamaa ni mshabiki wa CDM mbaya!!. anaikubali.
 
Huyo mzee ni kigeu geu sana. Anaonekana ni mtu asiye na msimamo na mtu asiyeweza kusimamia anachokiamini.

Suala hili halihusu siasa kwenye siasa tuongee siasa,huyo mzee hayupo kama katibu mkuu wa chama cha siasa hapo yupo kama mwenyekiti wa bodi ya CCBRT.
 
Suala hili halihusu siasa kwenye siasa tuongee siasa,huyo mzee hayupo kama katibu mkuu wa chama cha siasa hapo yupo kama mwenyekiti wa bodi ya CCBRT.

Safi sana mkuu! Hii ndiyo point kubwa niliyokuwa naisubiri toka great thinkers,Tanzanians should think big not little! Wajiulize je ni wakati gani unafanya mambo ya kitafa na wakati gani mtu unafanya mambo ya kundi lenye interests zako tu?UZALENDO SI MCHEZO NI SOMO KUBWA KWELI*2
 
Dr Slaa keshalainishwa. Hakuna mpinzani hapo

Upinzania sio kupinga kila kitu hata kama kina manufaa ushaambiwa kwenye siasa hakuna adui wa kudumu, kama ni hivyo mbona watu ujiunga na chama kikiwachosha uama tena na tena.
Kumbuka Dr. Slaa pale CCBRT ni mtu mkubwa sana , tuangalie maendeleo tusiangalie visa na matukio mabaya tu, si kwamba JK ni mbaya sana hata uenda watendaji wake wanamuangusha kwa kumuandikia ahadi nyingi kwenye kitabu bila kuzitekeleza.
 
Hahhaha dah yani jamani nimevipenda viatu vya Dr SLAA nitavipataje?
 
Back
Top Bottom