Elections 2010 Nimeipenda sana hii.

Ukienda kwenye http://Katiba ya jamhuri ya muungano ya tanzania sura ya pili, sehemu ya kwanza Rais, huko tutapata kazi na mamlaka ya rais, jamani Rais siyo kazi yake kununua meli, kuchimba visima vya maji na kutoa paspoti kwa wananchi wake, Kazi ya Rais ni kusimamia sera ya chama chake ili kuharakisha maendeleo kwa taifa na watu wake', ninachokiona kwa wagombea wetu walio wengi ni kuishiwa hoja, hebu angalia hii "Mtukula kupata umeme toka Uganda" badala ya Tutapeleka umeme vijijini kwa kutumia gesi yetu wenyewe. miaka 50 madarakani walikua wapi? " Kufufua mgodi wa makaa ya mawe kiwira" Kwa dhati sasa nitayaangalia madini ya nchi hii ili yawanufaishe waTZ na wala si wawekezaji. si bora Uncle Ben alivyojiuzia leo hii ungekua unafanya kazi na ajira angetoa? wao si ndo wanasiasa na wanaijua tuwafundishe?Bwana mkubwa alifikiri wana mtandao ni wanasiasa siyo ni wahuni tu.
 
Back
Top Bottom