Nimeingia cha kike kwa mtoto wa Diwani

na demu kama lilkua baya, hana mwelekeo ndo mzee kakupa, maan ata madiwani njaa tu
 
Ukimya wangu ulikuwa na Mengi sana hapa kati kati,
Kwanza mimi sio muhanga wa Moto pale Morogoro japo kwa hali yangu ya Uchumi laiti ningekuwa pale basi nami ningejikita Zaidi kwenye uchakataji wa uchotaji wa mafuta,

Jemedary kufa Vitani ni Heshima R.I.P wahanga wote japo kuna Muhuni wangu wa pale Msufini nae alikamatia Fursa R.I.P jembe,

Nilikuwa naingia JF kwa uoga uoga sana this time na kupost sio kama Zamani ili msifikire kwamba nami nilikuwa muhanga,

ukweli ni kwamba Zero Safari hii Nimeingia Choo cha kike,
Ni baada ya Kumtafuna mtoto Wa diwani na kumpa Mimba (ni mmoja kati ya wale watatu )

Huyu Demu Sikuwa najua Zaidi kuhusu yeye Zaidi ya jina lake na kuulizia tu mahali eneo analoishi,
inshort ni tulikutana tukamake Love basi na kuendelea,

Sasa msala alivyopata Mimba mi kupewa Taarifa, nikaitwa kwa baba mkwe nikajitambulishe Nikaignore na kuwaambia nitakuja siku nikipata Muda,
Kitu sikujua ni kwamba kumbe mzee wake ni Diwani na hela zipo kilichofata bhana nikafatwa na Port kama siku mbili mbele baada ya kuignore ombi lao,

Nikapelekwa Post nikakuta mzee kanifungulia kesi ya kwamba nimemuharibu Binti yao na kumpa Mimba huku Binti yao ndio kwanza anajiandaa kuingia Chuo Mwaka wa kwanza mwezi huu wa 9,

Aiseee niliishiwa pozi baada ya heka heka za hapa na pale na yule mzee mwisho wa siku tukamalizana kwamba anataka niende nikatoe Posa, Nimuoe mwanae hataki kuona mtoto wake huyo wa kike anakuwa na mtoto nje ya baba atakaemuoa(tena kwa maandishi muhuri na sahihi juu) .

Nilikubali kiroho Upande ili yaishe yasifike mbali ila kiukweli mimi sina hisia zozote na huyo Binti yaani kiufupi sina Upendo nae ata Robo,

Wiki mbili sasa zinaelekea kukatika nipo nawaza Najitahidi kujionesha niko sawa lakini bado,

Wakuu nipeni mawazo mbadala nifanye nini kiukweli nikimuoa huyu binti nitamtesa tu, siyo kwa kumpiga au kumnyima chakula ila nafikiri Nitamcheat sana na kitu ambacho niliapa sitafanya kwa mke wangu wa ndoa.

CC Zero IQ
ndege mjanja leo kanasa kwenye tundu bovu
 
Mkuu nakusaidiaga misala mingi sana, mpaka polisi nimewahi kukutoa kama mara tatu hivi, ila kwa hili nakuachia umalizane nalo mwenyewe,

Kwa ujumla hesabu umepata msimamizi wa kiwanda, kazi yako itakuwa ni mwendo wa fuso tu kuelekea Iringa wanakozalisha viazi.
 
Wasambaa wanasema "Hekuna zokwa baya ja tahikia"

Tafsiri : Ukiyavulia nguo sharti uyaoge, pia ukipenda ua penda na boga lake

Sasa Zero IQ sasa umemtunisha misuli ndo unasema hakuvutii na sio mzuri ulivyomkojolea ulimuona mweupe na sasa ni mweusi....?

Back
Top Bottom