Nimegundua wauza 'ngada' sio watu wa mchezo mchezo

Mhe.Rais wa Jamhuri ya Muungano alipokuwa katika sherehe za kuwaapisha baadhi ya wateule wake pale Ikulu alisema kwamba wauza unga sio watu wa mchezo mchezo maana wanaweza kubadili hata sauti yako na wakasema ulisema hivi au vile wakati ukusema na wakatupa mitandaoni.

Nilikuwa sijamuelewa kipindi kile lakini kwa sasa naanza kumuelewa maana tangia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam alipoamua kupambana na watu hawa, wengine bila hata ya kujali wao ni viongozi wa dini, na kwa upande wa dini tunaambiwa tunatakiwa kusamehee saba mara sabini.

Sasa yeye yule kiongozi wa dini bila hata kujua na kukumbuka alipomsema mwenzie amekula maharage ya wapi, mara akavae pampasi lakini yule kiongozi mwenzie wa dini alikaa kimya na kusimamia maandiko ya kumsamee, sasa huyu kiongozi wa dini alieamua kupambana na na RC Makonda kuwa hana vyeti mbona wakati wa uhakiki akuleta hoja hiyo, hawa manabii wa uongo nadhani siku zao zimefikia mwisho.

Watu wengi humu tunamu attack sana mhe.RC Makonda ina maana katika mitaa yenu hamjawai kuona watu walioathilika na madawa? Napenda niwakumbushe kwamba Mamlaka ndio inayoamua nani awe tajiri na nani awe maskini, tusijaribu kupambana na mamlaka ni hatari sana kwa maisha yetu.
Uhakiki unaisha tarehe 31 mwezi machi.Kama ana vyeti vya MTU haina namna awajibke tu
 
Haya ni ya kwako na akili zako za kipumbavu unapohukum kwa kusingizia watu unajua nn malipo yake?kumbuka yote ni hapahapa duniani hv unajua hukum ya kuuza madawa ya kulevya? ungekuwa unajua wala usingesema hayo.
Nani kahukumu mwingine, au wewe muhumini wa kule kanisani kwetu tunapopambana na Serikali?
 
Ss unapomtetea huyo shemeji yako kwa aliyoyatafuta mwenyewe kinakuuma nn na yeye akipokea sehem ya haki yake.
Tehe tehe tehe, mimi nikisikia madawa ya kulevya naumia sana maana kuna mate wetu mmoja aliweka cheti cha form four, form six na Degree ya kwanza kwa muuza Ngada ili apewe mzigo, ilibidi tujichange wana darasa kuvikomboa vile vyeti pili kuchanga tena pesa kumpeleka mshikaji wetu Soba House kwa matibabu, wapo washikaji zetu waliingia kwenye hizo business wameshahukumiwa Vifo kwenye nchi za watu maana yake hatutawaona tena, harafu wewe wanaume wanaamua kupambana na madawa unaleta vyeti feki ili mtu asipambane,aisee koma kabisa kama huna uchungu na mambo haya unabakia kufata mkumbo wa kisiasa tu, nimeongea kwa uchungu kwasababu kuna watu wananihusu wamepotea kwa madawa sio unaleta polojo kwenye mambo ya msingi.
 
Sitegemei kuwa eti system ndo inapanga nani awe tajiri na nani awe maskini, kwa hapo umepotoka hebu kwanza jitafakari! sitegemei kama umaskini wako umeletwa na system bali wewe na uzembe wako wa kujituma na utaendelea kuwa maskini kwa mawazo yako
 
Wameunda magenge mtaani mitandaoni yakumshambulia. Yule mpare wa instagram nayeye sio mzima lazima ni muuzaji.
 
Sitegemei kuwa eti system ndo inapanga nani awe tajiri na nani awe maskini, kwa hapo umepotoka hebu kwanza jitafakari! sitegemei kama umaskini wako umeletwa na system bali wewe na uzembe wako wa kujituma na utaendelea kuwa maskini kwa mawazo yako
Ukikua utanielewa lakini kwa sasa ni kazi bure!!!!
 
Mhe.Rais wa Jamhuri ya Muungano alipokuwa katika sherehe za kuwaapisha baadhi ya wateule wake pale Ikulu alisema kwamba wauza unga sio watu wa mchezo mchezo maana wanaweza kubadili hata sauti yako na wakasema ulisema hivi au vile wakati ukusema na wakatupa mitandaoni.

Nilikuwa sijamuelewa kipindi kile lakini kwa sasa naanza kumuelewa maana tangia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam alipoamua kupambana na watu hawa, wengine bila hata ya kujali wao ni viongozi wa dini, na kwa upande wa dini tunaambiwa tunatakiwa kusamehee saba mara sabini.

Sasa yeye yule kiongozi wa dini bila hata kujua na kukumbuka alipomsema mwenzie amekula maharage ya wapi, mara akavae pampasi lakini yule kiongozi mwenzie wa dini alikaa kimya na kusimamia maandiko ya kumsamee, sasa huyu kiongozi wa dini alieamua kupambana na na RC Makonda kuwa hana vyeti mbona wakati wa uhakiki akuleta hoja hiyo, hawa manabii wa uongo nadhani siku zao zimefikia mwisho.

Watu wengi humu tunamu attack sana mhe.RC Makonda ina maana katika mitaa yenu hamjawai kuona watu walioathilika na madawa? Napenda niwakumbushe kwamba Mamlaka ndio inayoamua nani awe tajiri na nani awe maskini, tusijaribu kupambana na mamlaka ni hatari sana kwa maisha yetu.
Hayo ni majungu Lakini ukweli inauma
 
Watu wengi humu tunamu attack sana mhe.RC Makonda ina maana katika mitaa yenu hamjawai kuona watu walioathilika na madawa?

Swali lako ni la mana sana kwa wakati huu; kama kweli umeona jinsi nguvu kazi ya taifa ketu ilivyoharibiwa na madawa ya kulevya sina shaka kabisa utaungana na Makonda dhidi ya wale wanaompiga vita, kwasababu tu amejitoa muhanga kupambana na hawa majasusi!!
 
Ngada na viswali vyake Mtandaoni
1.Nini Maana ya Ngada?
2.Matumizi ya Ngada ni Yapi?
3. je katika Nchi yetu Ngada inapatikana?
4.Wanaotumia sana Ngada ni watu gani na rika kubwa ni lipi?
5.Faida za Ngada katika Maisha ya Binamu?
6.Hasara za Ngada katika Maisha ya binadamu?
7.Je ikikosekana Ngada kutakuwa na na tatizo?
8.Ni nani anayeweza kuzuia Ngada
 
1.NGADA NI MADAWA YA KULEVYA (YA LABARATORY)
2.KUSISIMUA MWILI NA AKILI
3.NDIO,TENA TUMEKUA NJIA YA KUPITISHIA
4.VIJANA TENA WANAOPENDA KUIGA IGA
5.NDIO,KIPATO KWA KWA MUUZAJI
6.KUJIUA TARATIBU,HIV,KUFRWA N.K
7.NDIO KWA WATUMIAJI,NA KAMWE NGADA ITAENDELEA KUWEPO DUNIANI
8.MUNGU PEKEE
 
Nimekukubali mkuu wengine wanajui kweli
 
Ivi mtajuaje kama hiko cheti alichonacho sio chake! Mnadhani alikua mjinga kiasi hicho.. Lazima atakua na birth certificate yenye jina paul makonda. Sasa mtamkamataje apo
 
Ukishaamua kuwa mtumishi wa Mungu mambo ya wewe kulipiza kisasi hakuna tena maana Biblia inasema kisasi ni kazi ya Mungu na mtu akikupiga shavu la kushoto mgeuzie la kulia ndio dini inavyoelekeza, ukishakuwa kiongozi wa dini lazima uwe na uwezo wa kuhistamili mambo magumu
Ahaaaaaaa bashite kakimbia jiji
 
Kwahiyo kama atakuwa hana cheti wewe itakusaidia nini, maana Rais anauwezo wa kumteua mtu yoyote anaejua kusoma na kuandika kuwa mtawala ndio katiba yetu, huyo aliesema Makonda amepata zero lini ulisikia NECTA wanatoa Cheti cha division zero? mtu anakaa mbele ya madhabau anawadanganya hata uwezo wa kumuuliza maswali hamna, kwanini msimuulize kama Mhe.Makonda alipata zero na mchungaji anasema anacheti cha mtu aliepata zero na waumini mnaamini basi hapo hakuna kanisa kuna mambo mnaendaga kufanya maana hata roho wa Mungu alishakimbia hapo inaonekana kwaajili ya kusema uongo.
Uoni aibu kumtetea mtu aliyekimbia jiji kwa kashfa
Ukishaamua kuwa mtumishi wa Mungu mambo ya wewe kulipiza kisasi hakuna tena maana Biblia inasema kisasi ni kazi ya Mungu na mtu akikupiga shavu la kushoto mgeuzie la kulia ndio dini inavyoelekeza, ukishakuwa kiongozi wa dini lazima uwe na uwezo wa kuhistamili mambo magumu
 
Hongera kwa kuona mbali. Hao wote wanao mu attack Mhe. Makonda sababu kuu ya kufanya hivyo ni kuwa Mhe. Makonda alitangaza vita na wauza unga na alitamka vikali toka rohoni na kwa msisimko mkubwa sana.

Hakuwa hukumu watu bali aliwatuhumu nadhani wengine walikutwa nayo. Mfano kuna sauti inasema ... hatumii cocaine bali anatumia bangi.....

Inasikitisha sana kuona mpiganaji anashambuliwa namna hii. Ila MUNGU yupo na wengi wanaonekana wamepotea yaani wamevaa mewani ya mbao, hivyo awaoni mbele.
Huyo atakuwa mungu Wa wapuuzi anayefagilia watumishi 19,000 kutimuliwa kazi kwa vyeti feki alafu bashite abaki madaraani kwa kosa hilohilo.narudia tena huyo atakuwa mungu Wa wapuuzi
 
Back
Top Bottom