Nimegundua mume wangu anafanya mapenzi kinyume na maumbile na mwanamke mwingine

Bila Shaka utakua unagua UTI za kila namna
Maana wafukua mitaro wengi ni macarrie wazuri sana tu wa Bakteria.Fanya moyo wako ulichodhamiria whether uendelee kuvumilia mwishoe ukwae gono au utoke.Ila jua tu haya mambo ni kama mvua kila mahali inanyesha so unaeza uka move kwingine ukakuta balaa zaidi.
 
Dah ngoja niendelee na hili hili tundu la mbele kwakweli.
Kitu kipya nitakachojaribu ni bhangi tu nione wavutaji wanajiskiaje lakini huko uwani hapana kwakwelii
Mkuu Nakadori nilikuwa nakutafuta ktk nyuzi mbali mbali haswa za leo ijumaa sijkuonapo

Ni HV yule bwana Macron hajapata msada bado wa godoro na wew ulimuahidi utampatia sijui umefikiaa wapi mkuu wetu.
 
Habari,

Nimegundua kuwa mume wangu anafanya mapenzi kinyume na maumbile. Najiskia vibaya na siko tayari kushiriki naye tendo la ndoa kwa kuhofia magonjwa na najiskia kinyaa pia.

Naombeni mnishauri, ushauri wa kujenga tafadhali siyo kejeli.

Asanteni.

Jicho la nne ono la njia ya kuzimu
 
Mkuu Nakadori nilikuwa nakutafuta ktk nyuzi mbali mbali haswa za leo ijumaa sijkuonapo

Ni HV yule bwana Macron hajapata msada bado wa godoro na wew ulimuahidi utampatia sijui umefikiaa wapi mkuu wetu.
Nilimsoma nikagundua kuna usanii ndani yake. Wewe una shida sawa....sasa kuna haja gani ya kutishia kujiua kama sio ki draw attention ? Nimeahirisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom