Nimegundua kumbe Mimi tayari naishi Akhera / Mbinguni

Bill Lugano

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
1,186
6,402
Habarini wana JF nadhani wengi mtakuwa mmerudi toka France, Dubai, Usa, Uk, Canada, Sweden, Norway n.k kwenye Mapumziko.

Nashukuru mimi ndo nimerudi majuzi nlikuwa hizo nchi pia. Nikapigiwa simu kuwa kuna mfanyakazi mwenzetu kafiwa na jirani yake wanataka wasafirishe maiti kwenda Bukoba kwa Bus. Nliumia sana. Jamaa walishindwa kupata hata milion 90 tu wakapanda ndege?

Anyway nlimsikia mtu anayeendesha ibada akizungumzia Mbinguni. Aaah.... Nikagundua mimi kumbe nafanya mazoezi ya kuishi huko.

Wanasema kule hakuna njaa. Nami siijui njaa. Hakuna shida nami sina shida. Hakuna kilio cha huzuni nami silii kwa huzuni. Mara ya kwanza kutoa machozi ni siku ile nimekuja Tz na kupitishwa mitaa ya Mwenge na Kijitonyama nikaona watu wanaishi mazingira magumu. Nilisikitika sana.

Badi akaelezea kule kuna mademu watamu, wana joto, zinabana.. nikakumbuka ndo issues nazo kula huku down mimi. Maana kuna kipimo kabisa ninacho.

Akazungumzia raha ... Nikasema hizo nazo napata. Nikawaza nikaona aiseeee mimi kwa kweli nimeanza ishi akhera kitambo sana. Halafu wala nilikuwa sijui. Ndo huyu mtoa sala ananiambia hapa. Nikatabasamu. Nlliona watu wengine wana huzuni nikajua wanatamani waishi na mimi.

Sikujua miaka yote hii nafanya mazoezi au naishi akhera. Ndo nikaambiwa. Alikuwa akitaja uzuri wa huko mi kichwani naweka tick tu. Kuwa hili ninalo.... V. Akitaja tena naweka V.

Nikawaza niwaalike wana JF hata 20 tu nao waje waishi mbinguni hata kwa week moja tu. Wa enjoy life.
 
images (25).jpeg
 
Back
Top Bottom